Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do u wanna claim again Paypal is ya Makundu?

PayPal ipo Tanzania sema vilaza wengi huwa wanabeba tu juu juu maneno ya kuambiwa.
PayPal Tanzania unaweza unga na card yako na ukafanya purchases.
Unaweza kupokea pesa kupitia PayPal Tanzania ila kwenye withdrawal ndo kuna changamoto.
So wajanja huwa wakipokea payment PayPal wana fanya purchases na pesa waliyo pokea then wanauza hiyo bidhaa wanapata pesa yao.

NB: Changamoto ni kwenye withdraw tu.
 
Hahahahahahahaha
1695034926022.png
 
Which profit while 70% of Safaricom is owned by Vodacom SA?
Elon musk is a South African yet his company is US based…. So what percentage of his profits do you think benefit United States?… so is Tesla an American or South African company?…..smh..
 
Back
Top Bottom