Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ushahidi unao kwamba alifukuzwa au maneno ya kuambiwa wewe kuku maji
usikumbatie kila kitu kinachokuja kwako lazima ufanya utafiti kwanza weka akilini Raia wa kunyata mnateseka sana kwa kua nchi yenu inapokea kila kitu kwa kuzani ni maendeleo weka akilini usiwe mjinga sana utachekwa
Tunateseka na GDP ya $120B. Haya wewe enda ukalime maana leo sitaki kulala njaa. Si unajua lazima uende shambani ili mimi nile?
 
ingieni kwenye hii website msome ndio mtajua SGR yetu ilivyo na treni zetu zilivyo dear kenyasi
 
Ndio, tunataka chakula kingi. Kwa hivyo ni vyema uwache kupayuka hapa na uende ukalime, leo sitaki kulala njaa
Uwezi mkoromea baba yako na mama yako wanakupa chakula la sivyo watoto wa namna iyo uwa wanalala njaa au kama unaona kapange geto lako
 
Back
Top Bottom