Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti mandatory curriculum 🤣🤣🤣

Shule ngapi Kunyaland zina access to electricity?

SShule ngapi zina walimu wanajua coding?

SShule ngapi zina facilities za ICT?

WWanafunzi wangapi wana ICT devices?
Electricity Penetration (% Population):
Kenya - 76%
Bongolala - 36%
 
Wazeee wa uongo na drama nani asie wajua hahhahaaaaaa
Bongolala - 36%
Usiwe mjinga. Huku tech is a big thing and people are competing on who has better talent. People are coding for Microsoft and Google wakiwa hapa hapa tu Kenya. Did you know that Chat GPT was coded by Kenyan Programmers? When it comes to Technology msijaribu kujiweka na sisi
 
ASE AKIKISHA UMEKULA NDIO UONGEE NA MIMI KWANZA, PIA UNANUKA MDOMO alafi tz tech ni kitu cha kawaida sana na uwa atuna mbwembwe sana ila tunafanya silent ndio maana wakenya wengi mkija uku mnachanganyikiwa sana
 
Haya basi ni sawa 😁😁😁👍. Hakikuisha kuwa umeenda ukalima maana leo sitaki kulala njaa
 
Mnachokiweza ni kufukuza billionaires kama Elon Musk 😆😆😆
ushahidi unao kwamba alifukuzwa au maneno ya kuambiwa wewe kuku maji
usikumbatie kila kitu kinachokuja kwako lazima ufanya utafiti kwanza weka akilini Raia wa kunyata mnateseka sana kwa kua nchi yenu inapokea kila kitu kwa kuzani ni maendeleo weka akilini usiwe mjinga sana utachekwa
 
Back
Top Bottom