Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitombir wakumbafu, huwa mbona unalazimisha sana?
Nalazimisha nini? Kwamba JKIA has more international direct flights than your mabati rolling mills?

Ama kwamba raia wenu wamevamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi? Gani kati ya hizo mbili nalazimisha?
 
Apple and safaricom joint venture has set off… hii itakuwa moto 🔥 🔥…… I can’t wait….Technology is now the new Kenyan world frontier…..Silicon Savannah about to take over…. No wonder all these major companies like google, Microsoft, Samsung and IBM have set their Africa headquarters in Nairobi….. why do we even compare Dar to Nai?…. Nairobi is a world city…. Dar is just a some how modern fishing village…..🤣🤣🤣🤣🤣🥲
 
Kenya has been doing this for ages in Europe. Almost all Kiswahili teachers in Europe are Kenyans. There are also classes where lessons are held virtually with institutions in Europe and the United States, from Kenya.
Sasa mbona unaandika kwa huo ugoko wako wa kukariri. Nani ameitaja Kenya hapo? Acha kiwewe chako wewe nyang'au🤣🤣🤣
 
Nalazimisha nini? Kwamba JKIA has more international direct flights than your mabati rolling mills?

Ama kwamba raia wenu wamevamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi? Gani kati ya hizo mbili nalazimisha?
Kuwa na adabu, huna hadhi ya kubishana na mimi.
IMG_2062.jpeg
 
Yani huyo mwarabu anataka kuona picha ya a sitting President akiwa kwenye kitanda cha wodi probably breathing his last! And remember this is a President who was secretly flown into a neighbouring country akiwa hali mahututi!

Does he know there exists something called intelligence service?

He should be reminded that Magufuli's entry into and exit from Kenya was a secretly guarded affair that even most government officials from both countries were kept in the dark.

Mbona asijiulize ni kwa nini walidanganywa na waziri wao mkuu kwamba Magufuli yupo na anafanya kazi while in real sense he had died. Atangoja sana kuona picha za Magufuli akiwa hospitalini anatibiwa iwe ni Kenya ama huko kwao Tanzania
Nyinyi ndio maana hata akili zenu zimeshikwa na wanasiasa kama serekali ya tanzania imesema amefia kwenye hospitali hapa dar ww ni nani unabisha tuseme hvi tukuamini ww na tuache kumuamini rais wa nchi 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna ushahidi wowote na hutapata mpaka dunia inasimama

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1372289859931545604?t=_zHeuoL7rVRHjIcIL06-BA&s=19
 
Yani huyo mwarabu anataka kuona picha ya a sitting President akiwa kwenye kitanda cha wodi probably breathing his last! And remember this is a President who was secretly flown into a neighbouring country akiwa hali mahututi!

Does he know there exists something called intelligence service?

He should be reminded that Magufuli's entry into and exit from Kenya was a secretly guarded affair that even most government officials from both countries were kept in the dark.

Mbona asijiulize ni kwa nini walidanganywa na waziri wao mkuu kwamba Magufuli yupo na anafanya kazi while in real sense he had died. Atangoja sana kuona picha za Magufuli akiwa hospitalini anatibiwa iwe ni Kenya ama huko kwao Tanzania
Eti alisafirishwa by secret hahaha nimecheka mpaka basi 😅😅😅😅😅 hvi huu uzushi mulidamganywa na nani??? Nani aliwadanganya nyinyi kenge

Na ww umejuaje kama ilikua secret wakat upo kibera unahara kwenye paper bag muda wote 😅😅😅😅
 
Report say by who ??😅😅😅😅 yani nimecheka sana vile mulivokua hamuna hata akili ya kuzaliwa rais aache kwenda kutibiwa germany au russia huko aende atibiwe kenya?? Ww hata inakuingia akilini?

Ikiwa wanasiasa wenu wanakiambia india kutibiwa itakua rais wa nchi kweli?? Huyo joho si alienda kutibiwa nje like 3 months ago mbona hakuja nairobi akatibiwa??

Punguza ujinga na ufala uliojaa kichwani mwako 😁😁😁 ndio maana njaa inawaua coz ya ujinga na ufala
 
Hawa nyang'au walikuwa wanaamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya pia Olduvai gorge ipo kwao, ha ha ha🤣🤣
 
Back
Top Bottom