Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kericho is building an airport
20230916_172149.jpg
 
Nyinyi ndio maana hata akili zenu zimeshikwa na wanasiasa kama serekali ya tanzania imesema amefia kwenye hospitali hapa dar ww ni nani unabisha tuseme hvi tukuamini ww na tuache kumuamini rais wa nchi 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna ushahidi wowote na hutapata mpaka dunia inasimama

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1372289859931545604?t=_zHeuoL7rVRHjIcIL06-BA&s=19

So are you saying we should use the same logic since serikali ya Tanzania imesema?…. Ok .. same serikali said few days prior while he was missing in action that he was busy working for the people …. So which is which… no wonder the world laughs at you….🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mmetuzidi kwa kila kitu yet GDP says a different story 🤣🤣🤣. Kila mwaka mnasema mnatupita but the gap just keeps getting larger 🤣🤣🤣
Kama gidipii ni what you physically see on the ground then nyie ni zaidi yetu and if it's otherwise kaeni kwa kutulia tu. Sisi ni true father of East Africa.
 

Hersi naona ni mzuri sana kwenye Sports Diplomacy and Cooperate Social Responsibility. Yanga inaenda kuwa na matawi nchi nyingi sana which guarantees enough fans and more business for the club. Jana ukiacha ushindi lakini tumeipa experience tofauti kabisa Kigali……uchizi wa soka. Imagine team zote mbili ziko kwenye foreign land lakini uwanja umejaa, haya maajabu unayapata Bongo tu ukanda huu, ingekuwa hapo +254 mechi kama hii ingetazamwa na benchi la ufundi, makamisaa na viongozi wa team basi😅😅
 
Back
Top Bottom