Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Nashangaa tangu lini nyumba za uswazi zilifika Kenya kumbe ni picha ya moshi🤣🤣🤣🤣Ndioo nlishangaa mkenya mgani anajengaa Ivo kwa plot ya 40 by 80!!!
Yàani nyumba imekula plot mzima Hadi hakuna breather!!!
Typical Tanganyika style na mnajiita mko na enough land,
Mbona msiuziwe bigger plots za 200 by 100 especially the rich elite's!
Kazi ni kujisqueeze kwa kaplot na uko na pesa!!!