GDP isoweza kulipa mishahara ya watumishi?😅Mmetuzidi kwa kila kitu yet GDP says a different story 🤣🤣🤣. Kila mwaka mnasema mnatupita but the gap just keeps getting larger 🤣🤣🤣
Hasira zako maliza hapa 😅😅😅😅Hata kwetu tuliambiwa 2 million youth watapewa kazi, nothing shocking here
Danganyika ni shamba letu 🤣🤣Whoaaaaa! 70% of Tanzania's GDP flows through MPESA! Whos's the big dog now? 🤣🤣🤣🤣
When Mkunya thinks he owns Mpesa n Safaricom AND NOT Vodafone Plc!Whoaaaaa! 70% of Tanzania's GDP flows through MPESA! Whos's the big dog now? 🤣🤣🤣🤣
Your own peopleWhen Mkunya thinks he owns Mpesa n Safaricom AND NOT Vodafone Plc!
When Mkunya thinks he owns Mpesa n Safaricom AND NOT Vodafone Plc!
When Mkunya thinks he owns Mpesa n Safaricom AND NOT Vodafone Plc!
😂😂 si ajabu nikisikia wenyeji wenyewe kwenye mechi zao za CAFCC na CAFCL hawajazi, achilia mbali mechi za ligi yaoHersi naona ni mzuri sana kwenye Sports Diplomacy and Cooperate Social Responsibility. Yanga inaenda kuwa na matawi nchi nyingi sana which guarantees enough fans and more business for the club. Jana ukiacha ushindi lakini tumeipa experience tofauti kabisa Kigali……uchizi wa soka. Imagine team zote mbili ziko kwenye foreign land lakini uwanja umejaa, haya maajabu unayapata Bongo tu ukanda huu, ingekuwa hapo +254 mechi kama hii ingetazamwa na benchi la ufundi, makamisaa na viongozi wa team basi😅😅
True Giant of East Africa 😆. Vitu wanatutumia hapa ni propaganda wanalishwa na government 🤣🤣🤣🤣. Wanasema Tanzania will be built by Tanzanians huku moyoni wanaomba sana "kwa jirani kuwake moto" ndio wawekezaji watoroke waende kwao. Nilidhani ardhi ni yao na hawataki foreigners in their land 🤣🤣🤣
. Watu roho chafu sana
View: https://x.com/rollymsouth/status/1703315551399850448?s=20
Hiyo ni shida yenu wala sio yangu. Meanwhile, Kenya on top 💯💯☝️☝️Kumtibu mtoto wa chini ya miaka 5 kwenye hospital ya umma ni bure. Mtanzania yeyote, pamoja na wew unaedandia vitu usivyovijua, kama hujui hili ni ujinga wenu
Mbona unampiga na vitu vikubwa sana mkuu?We mpumbavu unajifarij tu .? 🤣🤣 3.2 km over water bridge 👇View attachment 2751073au mlishawahi kujenga hii 90's .? 🤣🤣
You really are a thick head. Let me break it down for you in simple terms, I get more fuel per litre with weaker Tanzanian shilling that what I will get with stronger Kenyan Shilling.You know your currency is Tanzania shillings? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Let me make the explanation simpler for you. Assume you have two currencies, currency A and currency B. If 1 shilling of currency A equals 20 shillings of currency B, it means that currency A is stronger than currency B. In this context, currency A has more purchasing power compared to currency B. This means that with 1 shilling of currency A, you can buy more goods or services than you can with 20 shillings of currency B. So, in terms of purchasing power, currency A is stronger and more valuable.
🤣 Mwambie akuonyeshe tu daladala terminus, kwasababu wao wanapenda sana kutumia adjectives hii tutaita nini?? 🤣🤣 Ultra modern, state of art, international daladala terminus. 👇Mbona unampiha na vitu vikubwa sana mkuu?
Mwambie akuonyeshe stand kama ya korogwe au kibaha tuu tuone walijenga lini.