BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
Alafu mulivo mafala na zwazwa nae ana like hahaha hii picha hapo sio kenya ushagoo ni moshi tanzania, pole kwa kukuumbua utanisamehe π π π π π π π π
View attachment 2750791
Dozi yako hii hapa utakunywa mara tatu kwa siku jitahidi unywe maji mengi sana na ukiona hali inazidi kua mbya rudi kwangu nikuchome sindano kwenye makalio yaliokomaa kama kwato za ng'ombe πππ
View attachment 2750792
View: https://twitter.com/KhethiweAS/status/1446787242664599554?t=ErlFy21LyDDk8b4ovZbRxw&s=19
Ndioo nlishangaa mkenya mgani anajengaa Ivo kwa plot ya 40 by 80!!!
YΓ ani nyumba imekula plot mzima Hadi hakuna breather!!!
Typical Tanganyika style na mnajiita mko na enough land,
Mbona msiuziwe bigger plots za 200 by 100 especially the rich elite's!
Kazi ni kujisqueeze kwa kaplot na uko na pesa!!!