Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaa kimya unafikiri hesabu ya GDP inapigwa kirahisi hivyo kwamba una add percent ya GDP growth directly to the current GDP. GDP hesabu yake inahusisha vitu vingi tuu sio simple kama unavyofikiria.

Hizo hesabu za vitu vingi zitafika Bongolala mwaka gani?
Kila mwaka gap inapanuka tu.

2010
KE GDP - $45 B
TZ GDP - $32 B
Gap: $13 B

2015

KE GDP - $70
TZ GDP - $47
Gap : $23 B

2020

KE GDP - $100
TZ GDP - $62
Gap: $38 B

2021

KE GDP - $110
TZ GDP - $67
Gap: $43 B
 
Next year tutakuwa around 6.5% .Kwa miaka 5 ijayo tunaenda kufikia level za Ethiopia na Rwanda hapo ndipo tunaenda kuwachapa kama mbwa majizi.😁😁

Nadhani unajua projections kwamba by 2028 mtakuwa mnatusalimia Shikamoo kaka mkubwa.

Here is the path

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1699340547427582148?t=vlGpIhn8oyik8bZcTMb2-Q&s=19

Punguza unachovuta.
Kenya na Tazania kwa growth rate projection zinasema tuko bumper to bumper.
Ili TZ ifikie Kenya by 2028, Kenya lazima growth rate yake ikuwe 0%.
 
img_114514_6923-jpeg.2741455
IMG_114541_6923.jpeg
IMG_114606_6923.jpeg
 
Punguza unachovuta.
Kenya na Tazania kwa growth rate projection zinasema tuko bumper to bumper.
Ili TZ ifikie Kenya by 2028, Kenya lazima growth rate yake ikuwe 0%.
Two illiterate Kenyans - so obsessed with Tanzania - wanadiscuss kuhusu Tanzania badala ya kujadili Ugali. 😂

Kenya ni nchi ya wajinga wasio na priorities, wajinga wanaopenda maendeleo na urembo wa cosmetics.
Hakuna utajiri zaidi ya chakula.😂
 
Kaa kimya unafikiri hesabu ya GDP inapigwa kirahisi hivyo kwamba una add percent ya GDP growth directly to the current GDP. GDP hesabu yake inahusisha vitu vingi tuu sio simple kama unavyofikiria.
Hivi wewe genius unadhani GDP growth inscalculatiwa kivipi?🤣🤣 It's so easy to please a pack of idiots using nonsensical statements.🤣
 
And this is true nani wakumwambia ukweli mwigulu au nape au makamba?? Watu wamegeuka kua machawa na kazi ya chawa ni kusifia tu hata kama wanona tunaelelekea kwenye moto wao kusifia tu

Nchi haieleweki kabisaa na ukweli utasemwa kama kuna mazuri yatasemwa pia lakini kwa sasa nchi inayumba sana na huu ndio ukweli leo mtu anafunga kituo cha mafuta kisa anasubiri bei ipande alaf tuko hapa tunakenua meno sijui uchawa sijui nn

Alaf mwengine anaomba world bank 500m usd kwa ajili ya ku cover pengo la usd nchini serious??? Alaf ndio waziri wa fedha alaf tuko hapa tunakenua meno kabisaa eti tukae kusifia ??
 
Two illiterate Kenyans - so obsessed with Tanzania - wanadiscuss kuhusu Tanzania badala ya kujadili Ugali. 😂

Kenya ni nchi ya wajinga wasio na priorities, wajinga wanaopenda maendeleo na urembo wa cosmetics.
Hakuna utajiri zaidi ya chakula.😂
Wao vita yao kubwa kuu ni tanzania yani katika akili zao hua hawapendi kuona tanzania ikifanya maendeleo na vile walidanganywa kua tanzania imelala haina maendeleo sasa wanashtuka kutafuta shuka kushakucha 😁😁😁 ukiwakuta twitter hutaamini kama ni hawa kazi yao kutukana ruto tu
 
Angalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanza😂

Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini

IMG_0122.jpeg

Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan 😂

IMG_0123.png
 
View attachment 2741744

View attachment 2741745
Inamaana ukizoom tu makeup yote inaondoka sijui kuna eye shadow inavurugika pia😅😅
 
Angalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanza😂

Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini

View attachment 2741744

Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan 😂

View attachment 2741745
Yafaa iwe dhambi mtu yeyote kutoka Dar es Salaam kuongelea vumbi. Hilo jii lenu lote ni vumbi ukitoa sehemu ndogo za CBD. 🤣
 
Back
Top Bottom