Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rifinery bongo mbona ilikuepo tatizo usimamiaji ndo mmbovu bei ya mafuta haiwezi kuwa gharama kama unayachakata mwenyewe haiwezekani ww ndio unaleta porojo na ukiangalia bongo na angola zipo connected na tazara suala sio gharama ila ni kukosa kufikiria kwa viongozi wetu
Huyu sio Mtanzania na hajui lolote kuhusu Tanzania. Tuliozakiwa Dar es salaam tulikua tukiona mnara unaowaka moto kule Kigamboni "TIPER" ambayo ilikua Crude Oil Refinery na ni miaka sasa tangu iache kurifine crude oil na kuwa storage facility.

Mpumbavu sana huyo Mkenya.
 
Mzee tuusan , Uchumi wa Tanzania umekua Kwa 5.6% Kwa robo ya kwanza kinyume na matarajio ya 5.2%

Tuko kwenye right track in jiwe's voice
Screenshot_20230906-152744.jpg
Screenshot_20230905-142419.jpg
 
Huyu sio Mtanzania na hajui lolote kuhusu Tanzania. Tuliozakiwa Dar es salaam tulikua tukiona mnara unaowaka moto kule Kigamboni "TIPER" ambayo ilikua Crude Oil Refinery na ni miaka sasa tangu iache kurifine crude oil na kuwa storage facility.

Mpumbavu sana huyo Mkenya.
Inasikitisha kwelii yani refinery ilikuepo wameshinda kuindeleza mpaka imekufa
 
Back
Top Bottom