ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Kazi yake ndio hiyo hiyo wanayofanya,Mkopo unapata Fedha fasta na nyingi ya pamoja , kwenye mafuta unadunduliza Kwa hiyo italipa deni.Mikopo ya REA kazi yake ni nn??? Kila wakat tunaona mikopo kwenye kila phase ya REA tuambie ww mdogo wake mwigulu nchemba kua zinafanya kazi gani??
Na uniambie hesabu ya 3T kwenye mafuta umeipata vp?? Kodi za mafuta nchi hii ziko zaidi ya 22 na zinachangia over 50% ya bei ya mafuta sasa nataka utueleze mikopo ya REA inakwenda wapi??? Na kodi za REA kwenye mafuta zinakwenda wapi???
Pili kwani hivi vihela vya Mafuta ndio vinatosha mahitaji ya Nchi?
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1689336851511799808?t=u0voruswz0oN2CGFqrtigA&s=19