Gap ipi unazungumzia ya kwenye karatasi au?
Leta picha wacha maneno, hiyo picha tumekuwa tukiiweka miaka miwili sasa pako hivyo hvyo. Mnasubiri investor awawekee pavement wajinga nyinyi.
Hela zote zile za mikopo wamepeleka wapi? Yaani hata $500 ni za kuomba kabla ya November??And this is true nani wakumwambia ukweli mwigulu au nape au makamba?? Watu wamegeuka kua machawa na kazi ya chawa ni kusifia tu hata kama wanona tunaelelekea kwenye moto wao kusifia tu
Nchi haieleweki kabisaa na ukweli utasemwa kama kuna mazuri yatasemwa pia lakini kwa sasa nchi inayumba sana na huu ndio ukweli leo mtu anafunga kituo cha mafuta kisa anasubiri bei ipande alaf tuko hapa tunakenua meno sijui uchawa sijui nn
Alaf mwengine anaomba world bank 500m usd kwa ajili ya ku cover pengo la usd nchini serious??? Alaf ndio waziri wa fedha alaf tuko hapa tunakenua meno kabisaa eti tukae kusifia ??
Mzee baba upoAnd this is true nani wakumwambia ukweli mwigulu au nape au makamba?? Watu wamegeuka kua machawa na kazi ya chawa ni kusifia tu hata kama wanona tunaelelekea kwenye moto wao kusifia tu
Nchi haieleweki kabisaa na ukweli utasemwa kama kuna mazuri yatasemwa pia lakini kwa sasa nchi inayumba sana na huu ndio ukweli leo mtu anafunga kituo cha mafuta kisa anasubiri bei ipande alaf tuko hapa tunakenua meno sijui uchawa sijui nn
Alaf mwengine anaomba world bank 500m usd kwa ajili ya ku cover pengo la usd nchini serious??? Alaf ndio waziri wa fedha alaf tuko hapa tunakenua meno kabisaa eti tukae kusifia ??
Nambie we mama 😅Mzee baba upo
Mtu anaongelea vumbi la kuzoom kwa simu wakati ukitembea dar maeneo Kama masaki uso unaparara Kama umepaka poda.Yafaa iwe dhambi mtu yeyote kutoka Dar es Salaam kuongelea vumbi. Hilo jii lenu lote ni vumbi ukitoa sehemu ndogo za CBD. 🤣
Hii tunaita Self projectionAngalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanza😂
Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini
View attachment 2741744
Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan 😂
View attachment 2741745
Hii ni aibu sana wallahi, huwezi kukutana na ushuzi kama huu Dar, yani kuwe na barabara ya kisasa alafu pembeni kidogo ushuzi, only in kunyaland 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aibu naona mimi 🤭🤭🤭🤭🤭🤭Wewe LDC bongolala huoni hio barabara inachimbwa kando?