Angalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanza๐
Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini
View attachment 2741744
Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan ๐
View attachment 2741745