Haya toto, sasa toa render utuwekee the actual images. 🤣
Nje ya haya majengo meupe mombasa ni takataka ndio maana Kila anayepiga picha mombasa lazima Apige bandari na huto tumajengo Chakavu tuliopakwa chokaaMombasa iko kutoa kamasi Dar. Wakati wowote tokea sasa
View attachment 2740065View attachment 2740066View attachment 2740067View attachment 2740068
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanachekesha sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nje ya haya majengo meupe mombasa ni takataka ndio maana Kila anayepiga picha mombasa lazima Apige bandari na huto tumajengo Chakavu tuliopakwa chokaa
Dar slum mavi yashagonga chupi🤣🤣Mombasa iko kutoa kamasi Dar. Wakati wowote tokea sasa
View attachment 2740065View attachment 2740066View attachment 2740067View attachment 2740068
Cha ajabu nini mafuta kupanda? Niliyegemea nyie sukuma gang mkachukue vibali Ili mlete mafuta ya bei chee mpigie hela Sasa mnaleta blaa blaa za kijinga.Nilitegemea hili suala alilete ChoiceVariable lakini nikaona kimya nilimwambia jana sio kila kitu ni kupayuka kuna mambo hayako sawa kabisa na kama viatu ni vikubwa ieleweke kua viatu ni vikubwa sio tunakaa kusfiana sijui machawa sijui kina nani yani vurugu na mafuta ya nchi hii ukifatilia over 50% ya bei hio ni kodi yani mafuta yanakodi zaidi ya 22 mpaka sijui REA, REA inafanya nn kwenye kodi ya mafuta??
Nimeulizia mafuta tunduma ni 3380 nchi inakwenda wapi hii???
Jana wafanya biashara wa mafuta wamegoma kuuza mafuta mpaka mafuta yapande bei, serekali imekaa kimya na hatuelew mpaka sasa anaeongoza serekali ana lipi la kusema
View attachment 2740512
Hapa hatuongelei sukuma wala chaga hapa tunaongelea suala la mafuta ndio issue kwenye nchi hii kwa sasaCha ajabu nini mafuta kupanda? Niliyegemea nyie sukuma gang mkachukue vibali Ili mlete mafuta ya bei chee mpigie hela Sasa mnaleta blaa blaa za kijinga.
Wakati juzi kati mna post bei za mafuta za Nchi jirani mlikuwa Ewura imezitoa Kwa Ajili gani?
Huu ndio wakati tuone Dotto Biteko akishusha bei maana mlisema tatizo ni Waziri Makamba 🤣🤣🤣
Baada ya wafanyabiashara kupata tetesi za bei ya mafuta kupanda wakaanza kuficha mafuta ili bei ikipanda wapate faida maradufu, mtu amuambie huyu mama ukiongoza nchi za Africa kipole utavuna mabua. 😂😂😂Nilitegemea hili suala alilete ChoiceVariable lakini nikaona kimya nilimwambia jana sio kila kitu ni kupayuka kuna mambo hayako sawa kabisa na kama viatu ni vikubwa ieleweke kua viatu ni vikubwa sio tunakaa kusfiana sijui machawa sijui kina nani yani vurugu na mafuta ya nchi hii ukifatilia over 50% ya bei hio ni kodi yani mafuta yanakodi zaidi ya 22 mpaka sijui REA, REA inafanya nn kwenye kodi ya mafuta??
Nimeulizia mafuta tunduma ni 3380 nchi inakwenda wapi hii???
Jana wafanya biashara wa mafuta wamegoma kuuza mafuta mpaka mafuta yapande bei, serekali imekaa kimya na hatuelew mpaka sasa anaeongoza serekali ana lipi la kusema
View attachment 2740512
Hakuna namna bei ya mafuta imepanda Duniani lazima na kwetu ipande.Hapa hatuongelei sukuma wala chaga hapa tunaongelea suala la mafuta ndio issue kwenye nchi hii kwa sasa
Kama ni ukabila peleka kenya, hatuko hapa kupanua midomo tuko hapa kuongea facts inapobidi, wala hatuongelei jina la mtu sijui makamba sijui nani?? Hayo sisi hatutaki kuyajua tunaongelea mafuta kwenye nchi hii
Issue sio kupanda tu issue ni kodi zaidi 22 kwenye mafuta ni za nn, REA kodi inafanya nn kwenye mafuta kuna kodi nyingi sana kwenye mafuta za nn ikiwa over 50% ya bei hio inaenda kwenye kodi, mwananchi anasaidiwaje ??? Na mafuta ndio kila kitu kwneye nchi hiiHakuna namna bei ya mafuta imepanda Duniani lazima na kwetu ipande.
Ikipanda zaidi kama mwaka Jana mwanzoni Serikali itaweka ruzuku kama ilivyufanya.
Mwisho
Suluhisho la mda mrefu ni kutumia gas na umeme
Pia kuwa na storage kubwa walau ya kutumia hata miezi 6 Ili bei ikipanda tuwauzie kampuni mafuta hayo
Hayo yote yanahitaji mipango na mapesa kama yote
Yani inaskitisha sana bro alaf kila kitu tushangilie daaaah labda geza ulole anaeza fikisha ujumbeBaada ya wafanyabiashara kupata tetesi za bei ya mafuta kupanda wakaanza kuficha mafuta ili bei ikipanda wapate faida maradufu, mtu amuambie huyu mama ukiongoza nchi za Africa kipole utavuna mabua. 😂😂😂
Kodi haziwezi kuondolewa Kwa Sasa maana Serikali inapata 3T out of 8T za manunuzi ya mafuta.Issue sio kupanda tu issue ni kodi zaidi 22 kwenye mafuta ni za nn, REA kodi inafanya nn kwenye mafuta kuna kodi nyingi sana kwenye mafuta za nn ikiwa over 50% ya bei hio inaenda kwenye kodi, mwananchi anasaidiwaje ??? Na mafuta ndio kila kitu kwneye nchi hii
Ndio maana hua nakwambia kuna wakat tuongee facts vitu vingine vinaumiza sio kukaa kushangilia ovyo ovyo tu
Mikopo ya REA kazi yake ni nn??? Kila wakat tunaona mikopo kwenye kila phase ya REA tuambie ww mdogo wake mwigulu nchemba kua zinafanya kazi gani??Kodi haziwezi kuondolewa Kwa Sasa maana Serikali inapata 3T out of 8T za manunuzi ya mafuta.
Hadi hapo funding gap ya kuziba hizo 3T itakapopatijana mainly ni za reli,mfuko wa Maji,Bandari,Rea na Barabara.Sasa ukisema REA inafanya nini sijui tujibuje wakati Kuna miradi ya REA inaendelea.
Kodi zinachangia 40% ya bei ya mafuta Kwa Lita Moja.
Mwisho sio Tanzania tuu ambayo inategemea Kodi kwenye mafuta Kuna Nchi nyingi sana ikiwemo South Africa Hadi Kenya.