Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya mambo peleka jukwaa la siasa, humu tumo kuwanyuka Wakenya usitupotezee focus. Kila nchi ina issues zake, huwezi kuona wenzetu wanaanika their dirty laundry jukwaa hili. Watu kama nyie vitani hupigwa risasi za kichwa.
Umesema vyema na ndio ulitakiwa useme hivi mwanzoni sio kutetea ujinga wa SSH.
 
IMG_203713_30823.jpeg
 
Yani wewe na akili zako zote unaambiwa ufala kama huu na unakubali tu kisa blind partriotism? 🤣 🤣
Eti Tanzania sasa imeshindwa na nchi tano pekee duniani? 🤣🤣 Wee ni mgonjwa.
Hakuna swala la blind patriotism kwenye hili. Haya ni mambo ya ukweli na yenye ushahidi wa kila aina ambao bado unaendelea kuishi.

Ni wewe tu unajitia upumbavu wa kukausha bahari na taulo.
 
Back
Top Bottom