Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kukatika umeme na kuna kukatika umeme na Aiport kukosa generator, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa usichanganye mambo.
sijawah kuona kwenye maisha yangu nchi nzima inakatika umeme mpaka ikulu sijapata kuona 🤣 🤣 🤣
alaf hua wanajisifu hapa wako vzr kwenye umeme yani nimestaajabu sana
 
The biggest female athlete in the world right now.

F4RslL8WMAAcGQa
 
Biggest kwenye nn, mbio za mita 100,000? alafu wale wa mita 100 wasemeje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama hujui chochote kuhusu athletics unyamaze.
Fuatilia amateur football hapo polepole.
 
Back
Top Bottom