Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands Business District. One of the oldest and most affluent business districts in East and Central Africa.
View attachment 2731127
Hivi ile Posta yao inaweza fikia Westlands kweli? Kuna Wakati Posta ilionekana kambe imeshinda Westlands wakati walijenga ile mitungi yao tatu lakini tangu Westlands iongeze Delta towers, Lemac, One Africa, Park Inn na GTC sioni kama inaweza gusika na Posta.
 
A few comments on a song she kept posting and tagging Khaligraph sii attention bro. Ila huko Khaligraph anaongelewa kila mahali, wasanii wametunga rap kibao juu ya statement yake tu. Hadi wengine wamemkujia na hasira sijui kama nini. Kawaida yenu huwa watu emotional sana. Nakumbuka kuna siku Kenya Airways ilijadiliwa bungeni kisa imeitwa Kilimanjaro. Kuna siku pia Jaguar kwa siasa zake akaongelea Wachagga wa Gikombe, story iliingia hadi parliament. Nisimention siku Rosemary Odinga aliquote Olduvai Gorge - hadi Rais wenu akamtaja akifungua Kigamboni bridge. Yani Mkenya yeyote tu anaweza kasirisha Bongo nzima akitaka kwa kupost tu kitu pale twitter. Mko weak sana. 🤣
Hiyo yote ni hasira ya Omollo kusokotwa mbaya na mama!Nyinyi ni wadogo zetu toka zamani
Screenshot_20230828-110939_1.jpg
 
Hivi ile Posta yao inaweza fikia Westlands kweli? Kuna Wakati Posta ilionekana kambe imeshinda Westlands wakati walijenga ile mitungi yao tatu lakini tangu Westlands iongeze Delta towers, Lemac, One Africa, Park Inn na GTC sioni kama inaweza gusika na Posta.
Hakuna sehemu Dar inaweza fikia westy..., even their CBD yenye imejaa apartments haiwezi fikia westy..., uki delete apartments in Dar, CBD ya maana ni like two streets.., 😂 😂 😂 😂
 
Asante kwa hii picha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 yaani estate ndani ya Kisumu hii.., yaani miji zenu zote ni za kishamba sana..., tazama👇👇👇👇😝😝😝😂😂😂😂😂😂 eti CBD ya Capital City..., kwenda kabisa, manina zenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2731113
😅
 
Wanajifanya hawaioni 😅😅😅😅😅 mwathadan ww pia hujaona
Bongolala the ranking is about ni mji upi utakua affected more na global warming specifically mahali temperatures zimepanda kwa kiwango kikubwa. Kwa hio list pia kuna Boston, Seoul, Cardiff, Melbourne, Shenzhen, Amsterdam na Bangkok. Jamaa wa kuokota kila kitu mtandaoni
 
Sio mm sasa kwann unalia🤣🤣👇👇👇 au hii media hamuitambui kwenu?? sio tu mahali temp imepanda hata mambo ya environment also, mnakunya ovyo tu munatupa vinyesi ovyo mpaka leo nashangaa kuna cholera nairobi 2023 mji mchafu unanuka kila kona

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1696052727673995659?t=e77ill5LYjUjQYhyVGa28g&s=19

View: https://twitter.com/KenMOJA/status/1696092935291310249?t=0mluEhKBMRV2gacJjxtmGw&s=19
 
Leta Karen tulinganishe na Masaki uone vile utakavyokimbia kichas wewe, mimi sina huruma na wewe kabisa 🤣🤣🤣🤣
No sane Kenya will get into a battle between Masaki and Karen. Yani ni kama mtu aje na Corolla aseme ina mbio kuliko Lamborghini yako alafu eti anakuambia ulete Lambo mshindane. Masaki tengenezeni Barabara kwanza, for now level yenu ni Syokimau. Sii Karen.
 
🤣🤣🤣🤣 Maneno mengi ya nani kama unaniweza pima.. we all know Karen that's nothing compared to Masaki.. ukibisha wewe twende ground tu
 
No sane Kenya will get into a battle between Masaki and Karen. Yani ni kama mtu aje na Corolla aseme ina mbio kuliko Lamborghini yako alafu eti anakuambia ulete Lambo mshindane. Masaki tengenezeni Barabara kwanza, for now level yenu ni Syokimau. Sii Karen.
🤣🤣🤣🤣 Masaki ndio hood ya kitajiri pekee EA yenye barabara nyingi za lami tena za maana kabisa kuliko takataka yoyote ile unayoijua wewe
 
Alafu bado ni waoga waoga, ila kwa mdomo hauwawezi.., mtanzania anaweza kukukariria bingu ilhali yeye mwenyewe ni jehanamu, domo domo, vitendo na facts zero 😂😂😂😂😂😂😂
Mkikuyu fala wewe uhana atía? Ni bingu au mbingu?
images (50).jpeg
 
Leta Karen tulinganishe na Masaki uone vile utakavyokimbia kichas wewe, mimi sina huruma na wewe kabisa 🤣🤣🤣🤣
Mwendawazimu wangu huyu..., kichaa wa Dar, kajidanganye na huko mbali kabisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom