chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,042
Maisha ya kishetani kama haya utayapata wapi kwenye miji ya Tanzania? Nairobi ina uhaba mkubwa wa maji kwa zaidi ya 95% ni chini ya 3% ndio wenye uhakika wa running water at least for 20hrs a day with relatively constant pressure, machokoraa wengine wote ni mwendo wa madumu na flying toilets