Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.
Hivi kustaarabika ndiyo kukoje? Au unamaanisha kuvaa kizungu koko?

Acha kushangaa shangaa mambo ya feri wewe, shilingi kuzama meli kuelea. Hiyo ndiyo bongo Darisalama, uzungu koko mwisho namanga.
hahaha.....hapo umenimix na kiswahili...sawa wastaarabu wa uswazi nyamalani
 
wachina wachina nyie Mungu anawaona😀😀😀😀😀😀😀😀
images
Aibu kwa mtu kucheka gari ya jirani na anatembea miguu tupu
 
.
Hiki kiwanja kilijengwa kwa pesa za Tanzania, Kenya na Uganda wakati wa EAC
I would appreciate any proof that supports that. Mnapenda kulia sana,ati pesa za EAC...

In 1972, the World Bank approved funds for further expansion of the airport, including a new international and domestic passenger terminal building, the airport's first dedicated cargo and freight terminal, new taxiways,associated aprons, internal roads, car parks, police and fire stations, a State Pavilion, airfield androadway lighting, fire hydrant system, water, electrical, telecommunications and sewage systems, a dual carriageway passenger access road, security, drainage and the building of the main access road to the airport (Airport South Road). The total cost of the project was over US$29 million (US$111.8 million in 2013 dollars). [8] On 14 March 1978, construction of the current terminal building was completed on the other side of the airport's single runway and opened by President Kenyatta. [9] The airport was again renamed, this time in honour of President Kenyatta after his death about five months later on 22 August 1978.
 
This is what I've noticed, with every Kenyan development, Tanzanians always have a myth about how Kenya didn't do it. I think that's what they have all been taught by their leaders because every single one of them believes that.
So tushawazoea endeleeni vivo hivo na hadithi za Abunwasi hahaa...

Ndugu yangu X-PASTER unajua sisi ndiyo nchi pekee East Africa kujega university yetu. Hiyo university of Nairobi na Makere walijenga wazungu....
Kenya katika miundo mbinu wako mbali siku nyingi toka wakati wa ukoloni wazungu walijenga has a Nairobi hata fedha zetu Uganda na Tanzania zimejenga Kenya pia kenya barabara zake kwa ukubwa no ndogo kuliko Tanzania sisi barabara za maana zimeanza jengwa baada ya Uhuru
Hii miji ndio imeanza kuiva miaka ya hivi karibuni...nadhani 5yrs back hapakua ivyo
narudia tena,nina uhakika 100% hilo pori halimilikiwi na taasisi ya umma bali anamiliki mtu mmoja kutoka zile elite family zinazotawala kenya.
hamna chenu hapo.
.
Hiki kiwanja kilijengwa kwa pesa za Tanzania, Kenya na Uganda wakati wa EAC
.
Acha ujuaji wewe, ni kwa sababu nyie mliondoa sifuri kwenye pesa zenu miaka ya mwanzoni mwa 80 (kipindi cha Moi) wakati uchumi 'wenyu' ulipoporomoka .
 
This is what I've noticed, with every Kenyan development, Tanzanians always have a myth about how Kenya didn't do it. I think that's what they have all been taught by their leaders because every single one of them believes that.
So tushawazoea endeleeni vivo hivo na hadithi za Abunwasi hahaa...

buda wacha kulalamika.
 
Wakenya mnalialia sana...Kiukweli kabisa tz nchi tunayoiwaza kimaendeleo ni SA

Hizi porojo kama hua tunawawaza sijui mnazitoa wapi nyie. ..yani kwenda Kenya ni kama tu mtu kafunga safari ya kwenda mkoa mwingine...walau mngekua hamzungumzi kiswahili kabisa. ..mnaongea kiswahili na kizungu lafudhi ya kiluo yni unahisi bado upo tz

Ni kweli kuna hatua mmefuzu lakini kinachofanya bado msiwe wa tofaut ni either ndio tunaanza kukifanya nasi pia. ..yani mkitoa mguu tunaweka hadi vingine tunawazidi tuwawaze kwa lipi
 
Haha... Kubali yaishe😀😀😀
 
Back
Top Bottom