ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
World's top 10 teashahah where is best tea in kenya labda uniambie miraa???? zaidi ya kuuza maua na siku hizi wazungu hawataki maua
Na traffic hamnalabda nikupe taarifa ambayo wewe ulikua huijui
JNIA iko under construction terminal 3 imefika over 66% of construction na itakua one of the modern airport in east and central africa
sisi hua hatuzungumzi sana ndugu ila kazi utaitambua tu😀😀😀😀😀Hizi tender ziko nyingi pia kwa gazeti za Kenya. Tuonyeshe zikikamilika si tender.
electrifying ours btw, Then also connecting smaller towns na tutengeneze web across the countryour new baby SGR is under construction, the modern electric train and second fastest train in africa
Lamu inaopen up the northern corridor. Hatuwachangi project hivo hivo2020 mfalme bagamoyo port itakua tayari na itakua the largest port in africa huku tunafanya expansion ya dar port na mtwara port na zote ziko under construction, kumbuka nilikwambia tutaona kati ya lamu na bagamoyo ipi ni white elephant
endelea kujipa moyo hvohvo wakati tanzania imepokea 2million tourist mwaka huu huku kenya imepokea laki 7😀😀😀😀😀😀Na traffic hamna
kwani bagamoyo port unafkiri itawaacha salama safari hii pua kwa pua😀😀😀😀😀Lamu inaopen up the northern corridor. Hatuwachangi project hivo hivo
mwaka huu umekuwa mbaya kwetu coz of political reasonsendelea kujipa moyo hvohvo wakati tanzania imepokea 2million tourist mwaka huu huku kenya imepokea laki 7😀😀😀😀😀😀
You are a poorer country, financial muscle hamnakwani bagamoyo port unafkiri itawaacha salama safari hii pua kwa pua😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀 asante bro kwa kutema cheche na povu kwanza tafuteni 3.8b+6% riba murudishe pesa ya wachina ya phase oneelectrifying ours btw, Then also connecting smaller towns na tutengeneze web across the country
haya tusubiri tuone basi kati ya bagamoyo na lamu ipi ni white elephant usicheze na nchi iliyotokea ujamaa😀😀😀😀You are a poorer country, financial muscle hamna
TENDER NOTICESsisi hua hatuzungumzi sana ndugu ila kazi utaitambua tu😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀 sio mwaka huu ni miaka yote ndugu 2025 tanzania itapokea 8million touristsmwaka huu umekuwa mbaya kwetu coz of political reasons
sasa sisi hua tuko tafauti tunapotangaza tender maana yake kazi inaanza😀😀😀😀😀TENDER NOTICES
WORKS SERVICES
TENDER NO TENDER DESCRIPTION PRE-BID SITE VISIT DATE TENDER CLOSING DATE DOCUMENTS
KeNHA/1809/2017
Construction of Marigat
Bridge and Approach
Roads along MarigatMarich
Pass (B4) Road
Tuesday, 17
th
October, 2017 at
10.00am starting at
Marigat Bridge.
Wednesday, 22nd
November, 2017 at
11.00am
1.Marigat Bridge Works Bid Document
2.Drawings Substructure Marigat
KeNHA/1810/2017
Construction of Endau
Bridge and Approach
Roads along MarigatMarich
Pass (B4) Road
Wednesday, 22nd
November, 2017 at
11.00am
1 Endau Bridge Works Bid Document
2.Drawings Substructure Endao
KeNHA/1811/2017
Construction of Weiwei
Bridge and Approach
Roads along MarigatMarich
Pass (B4) Road
Wednesday, 22nd
November, 2017 at
11.00am
1.Wei Wei Bridge Works Bid Document
2. Drawings Substructure WEI WEI
KeNHA/1812/2017
Construction of Lomut
Bridge and Approach
Roads along MarigatMarich
Pass (B4) Road
Wednesday, 22nd
November, 2017 at
11.00am
1.Lomut Bridge Works Bid Document
2.Drawings
KeNHA/1813/2017
Construction Supervision of
Marigat & Endau Bridges
and Approach Roads along
Marigat-Marich Pass (B4)
Road-Lot 1
N/A
Thursday, 26
th
October, 2017 at
11.00am
1.RFP Supervision Consultancy - Marigat&Endau Bridges
KeNHA/1814/2017
Construction Supervision of
Weiwei & Lomut Bridges
and Approach Roads along
Marigat-Marich Pass (B4)
Road-Lot 2
N/A
Thursday, 26th
October, 2017 at
11.00am
1.RFP - Construction Supervision - WeiWei & Lomut
Downloads
Kama nilivyokueleza tender si kukamilika kwa kazi.KEnha stands for Kenya National Highway Authority.
nyinyi mnajenga one rail sisi ni web kaka😀😀😀😀😀😀😀 asante bro kwa kutema cheche na povu kwanza tafuteni 3.8b+6% riba murudishe pesa ya wachina ya phase one
aliekudanganya one rail nani hii reli itafika uganda rwanda burundi congo malawi na zambia unafkiri tumekaa tunyinyi mnajenga one rail sisi ni web kaka
The Most Visited Countries In Africa😀😀😀😀😀 sio mwaka huu ni miaka yote ndugu 2025 tanzania itapokea 8million tourists
eventually all rail systems will connect. BTW we are planning kuconnect hata nyamira sasaaliekudanganya one rail nani hii reli itafika uganda rwanda burundi congo malawi na zambia unafkiri tumekaa tu