kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
BTW leo nashusha mzigo mpya wa kibera soon utakuwa heweni..you have shown us 1000 times I agree but what about an aerial view of your middle class estates with their names......mmhh

BTW leo nashusha mzigo mpya wa kibera soon utakuwa heweni..you have shown us 1000 times I agree but what about an aerial view of your middle class estates with their names......mmhh

Karibu sanaNilikua napitia tu kuiangalia nikitoka JamiiForums.com. Hii thread ikanivutia nikaona ni heri nije niwaerevushe ya kweli.
Nani aende kwenye Ukabila pumbavuJamiiForums.com
Mkiweza pia mpitie huku. Ishallah.
Du! Wapenda sifa hapa Kinawauma vibaya
Prenty much the all of nairobi
uzuri wa jf,ukishaingia tu hutoki,hiyo JamiiForums.com ya kujadili ukabila utaiona takataka.Nilikua napitia tu kuiangalia nikitoka JamiiForums.com. Hii thread ikanivutia nikaona ni heri nije niwaerevushe ya kweli.

nenda ka file petition..😀😀Yani unajisifia uhuru wa kupiga domo ukiwa na njaa wakati unanyimwa uhuru wa kumiliki ardhi? Huo ni upunguani wa kiwango cha lami.
Hii miji ndio imeanza kuiva miaka ya hivi karibuni...nadhani 5yrs back hapakua ivyoa section of westlands
![]()
Hio airport hawana... mi terminal ya zaman wanatumia midude kama migodown ..hamna cha maana ...Terminal 3 JNIA will be the most beautiful terminal in East And Central Africa
Kati ya mimi na wewe nani pumbavu. Mkabila ni wewe shenzi ichieni.Nani aende kwenye Ukabila pumbavu
yetu ni ya 70s, nyinyi ni subiri,subiri na hata ikiwa complete haiwezi compete na huuwaliweza airport gani subiri waone mziki wa terminal 3 mwakani alaf ndio uongee
Samsung s8hapo hapo tueleze hio sim ni aina gani???😀😀😀😀😀
Kutembea hua tunaenda SA Huwezi kuja Kenya kutembea apo unapoteza pesa yako bure tu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app