kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,206
- 5,273
Kama uko tayar naomba list all projects zinazoendelea kenya nzima na mm nikuletee za dodoma tu alone alaf ukitoka salama
kwenye hili nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣
Note : all on going projects
Aliekwambia nani inatoa ushuru aina moja ma dar wakat system zetu ni tofaut huku kwetu hakuna county gvt 😅😅😅 na muundo nitofaut kabisa kwetu na kwenu
Mkoa wa dar hauna parliament kwenu kila county kuna parliament kwa ajili ya mafisadi kula pesa za bure
Mbona unataka za Kenya nzima?
Za Eastleigh pekee zimetosha.
I propose Eastleigh vs Dodoma+Dar+Mwanza+Arusha