Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
We jamaa unachanganyikiwa au.? Mzee we are building six phases of SGR simultaneously, 2500+ km .. the longest SGR in Africa .. unaruka ruka tu .. Ila me sijali "kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake"🤣🤣🤣🤣 mbweha weweMaskini mbwa ni nyinyi kabisaa, hilo linawafaa, SGR kipande kidogo kimewashinda, waganda waliwapea bomba la mafuta bado kazi haijaanza, akili ya kuendesha port hamna imebidi mama apatie waarabu, kwa vile mmezembea kifala..., tazama muonekano wa Dar kwa juu uniambie hiyo ni picha ya nini kama sio maskini mbwa koko, vumilia ulipo, usiniletee hasira, sio makosa yangu ni taifa lenu lilivyo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂