Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Kisha ikamilike baada ya miaka mingapi?.., tatizo Tanzania sio kuanzisha miradi, tatizo ni kukamilisha.., mtakua mmezeeka ama wengine hampo duniani kwa vile mambo yanavyo enda.., poleni. #SGR.., 2023 mwaka unaisha SGR bado!!!..,,