Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku njema watani

exactly my point..., nini hauwelewi?..., ni pato la taifa segmented in zones., bro kuna Dom region nyingine na Dar region nyingine, unajua maana ya neno region?, fyata utaendelea kujiasibisha, sio mimi nimesema ni serikali yenu na gazeti limenukuu serikali yenu, usinichukie bure, sio mimi ni facts zilivyo, wacha kiswahili😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Pato linaloingizea na local gvt na sio central gvt yani kwa lugha nyingine ni pesa inayokusanywa na county gvt kwenu japokua kwenu sheria zenu za county zinakua tofaut 😅😅😅😅

Kwenu county gvt inanguvu sana kwenye county yake na inapewa nafas kubwa kwenye kukusanya mapato huku kwetu inakua tofaut local gvt za kwetu hata kwenye ukusanyaji sio kila kitu wao wanafanya kuna makusanyo ya central gvt pia

Kama hapo hujaelewa katafute gongo unywe🤣
 
Unatafuta pakutokea eti, haya basi huu ni mlango, kimbia nenda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna siku utaingia humu usikute post yangu never ever 🤣🤣🤣🤣 tena sio post moja unaeza kuta hata post mia kwa siku
 
Wakunya someni namba hiyoo👇

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1694236580980961497?t=MML80NK1LtscO2KX3IQmDg&s=19
20230823_094313.jpg
20230823_095702.jpg
 
Kwa kuangalia municipal collections 😅😅 mbona hajajibu na amekimbia sasa
Na link hii hapa kazi yako ni kusoma👇👇👇

Dar is slum collecting less than half what Nairobi City government collects.
You should hide such embarrassments in the Tanzania section.
 
Dar is slum collecting less than half what Nairobi collects.
You should hide such embarrassments in the Tanzania section.
Ww ni chizi wa aina yake tanzania na kenya zina mifumo miwili tofaut katika ukusanyaji ndio maana kwenu kuna county gvt na kwenu county gvt inanguvu sana katika ukusanyaji mapato na huku kwetu ni tofaut yenye nguvu katika ukusanyaji ni central gvt na sio local gvt

🤣🤣🤣🤣 dodoma alone ina miradi ya gharama kubwa sana kuliko all counties combined including nairobi

Nyinyi muna miradi gani inayoendelea hata znz inamiradi yakutosha kuliko kisumu and mombasa combined na kama unabisha sema tu
 
Dodoma enda ulinganishe na Tatu City.

Nairobi county inaokota ushuru aina moja na Dar.
Parking, land rates, business licenses, nk. Hakuna ushuru Nairobi inaokota ambao Dar haiokoti.
 
Dodoma enda ulinganishe na Tatu City.

Nairobi county inaokota ushuru aina moja na Dar.
Parking, land rates, business licenses, nk. Hakuna ushuru Nairobi inaokota ambao Dar haiokoti.
Kama uko tayar naomba list all projects zinazoendelea kenya nzima na mm nikuletee za dodoma tu alone alaf ukitoka salama
kwenye hili nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣

Note : all on going projects

Aliekwambia nani inatoa ushuru aina moja ma dar wakat system zetu ni tofaut huku kwetu hakuna county gvt 😅😅😅 na muundo nitofaut kabisa kwetu na kwenu

Mkoa wa dar hauna parliament kwenu kila county kuna parliament kwa ajili ya mafisadi kula pesa za bure
 
Ultra modern market in morogoro nasubiri kuoneshwa ya kisumu 🤣🤣 wazee wa tech

View: https://youtu.be/10hZxo4E0zQ

Kenya is moving away from building glorified sheds and calling them 'modern markets'.
Hio tumeachia Tanzania, Burkina Faso and your peers.

We are building 400 new markets, many currently in the tendering stage.
All of them will come equipped with large cold storage facilities, for perishables like meat, fruits and vegetables.
That's a 21st century market.
 
Back
Top Bottom