Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Goodle earth itadhibitisha, mimi sio mwehu na sina janja janja kama zenu.., boss utanikoma😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2725849
View attachment 2725850
View attachment 2725851
Ndio hii au ???👇👇👇👇👇😅😅😅
images - 2023-08-23T092055.553.jpeg

Au ndio hio tena au zinafanana 😅😅😅
 
Mzee wa kujifurahisha 😂😂😂 .. tahira mwenzako analinganisha DODOMA vs tatu city ATI tatu city na enyewe Ina 50km paved roads lakini ni invisible 😂😂😂. Nyie jamaa mmenishinda tabia.. yani how unalinganisha DODOMA na tatu city.? 😂😂😂.
Ni invisible vipi? Huko nyuma umewekewa hadi video ama unataka tukupimie 50km of tarmac kama bongolala mwenzako ichoboy anavyotak?? Tatu city is a 5000 acres property na ina zones kama industrial zones, residential zones, commercial zones etc na sasa hivi kila mahali papo settled au contstructions are going on kuna lami

FB_IMG_16926938439753794.jpg
FB_IMG_16926944980894703.jpg
FB_IMG_16926944784617296.jpg
FB_IMG_16926943823190745.jpg
 
Ni invisible vipi? Huko nyuma umewekewa hadi video ama unataka tukupimie 50km of tarmac kama bongolala mwenzako ichoboy anavyotak?? Tatu city is a 5000 acres property na ina zones kama industrial zones, residential zones, commercial zones etc na sasa hivi kila mahali papo settled au contstructions are going on kuna lami

View attachment 2725870View attachment 2725872View attachment 2725873View attachment 2725874
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tarmac road iko wapi hapo ile 50km iko wapi?? Zile nyumba 3000 ziko wapi hata 10 sizioni wachilia mbali 3000 hzo kampuni 75 zinakaa wapi juu ya hewa au??

Nilikwambia hapa sio nairaland sisi ni majirani zenu mukijamba harufu tunaskia hakuna kitu mutadanganya hasa dunia hii iliojaa wajuaji hata hao wa nigeria munaowadanganya sasa hvi wanawacheka kwa ufala mlionao 😅😅😅😅😅

Kila kitu ulichopost hapa kinaonekana 👇👇zaidi ya miaka 15 hamuna chakuonesha zaidi ya sifa za uongo
Screenshot_20230822-134531.png
Screenshot_20230822-134049.png
 
Ndio hii au ???👇👇👇👇👇😅😅😅
View attachment 2725857

Au ndio hio tena au zinafanana 😅😅😅
Unapinga ama? 😂 😂 😂 😂 😂 😂, usikatae kwenu, unapajua vizuri sana😂😂😂😂😂😂😂😂 Dar is slum ni kubwa sana kaka.., wacha niitandaze humu..., 1600 sq km sio mchezo kaka, tazama....,
1692772415537.png

1692772546353.png

1692772661953.png

Vumbi tupu...,
1692772782176.png
 
Kwa kuangalia municipal collections 😅😅 mbona hajajibu na amekimbia sasa
Na link hii hapa kazi yako ni kusoma👇👇👇
Hiyo link ndio nilitumia kuonyesha Dom hamna kitu kwa Kiambu na pia Dom govt City haifikii tatu city kiuchumi..,
👇screenshot...., soma highlighted part..., Dom ya pili baada ya Dar is slum..., REGION!! 😂😂😂😂😂😂
1692773099054.png
 
View attachment 2725886
Ndio ni municipal collections ww chizi kweli hzo ni local gvt collections na sio central gvt na link nimeweka hii hapa🤣🤣👇👇👇👇

Siku njema watani
Ndio ni municipal collections ww chizi kweli hzo ni local gvt collections na sio central gvt na link nimeweka hii hapa🤣🤣👇👇👇👇

exactly my point..., nini hauwelewi?..., ni pato la taifa segmented in zones., bro kuna Dom region nyingine na Dar region nyingine, unajua maana ya neno region?, fyata utaendelea kujiaibisha, sio mimi nimesema ni serikali yenu na gazeti limenukuu serikali yenu, usinichukie bure, sio mimi ni facts zilivyo, wacha kiswahili😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom