Nina uhakika hakuna mji wowote hapo kenya wenye gorofa zaidi ya 30 massive, shiny ambazo ni mpyaa kabisa tena zinazungukwa na barabara za lami 51km, 22 km dual carriage ways na hakuna hata chochoro moja yenye barabara ya vumbi. Not even NAIROBI.
Don YF prove me wrong. Ndio uje ulinganishe na tatu city.? πππ Ambayo haijulikani ni industrial area au ni makazi ya watu. Kwa fikra zako fupi unavyodhani kama serikali itaanza kuwekeza makazi ya watu Magufuli city unafkiria yatafananaje ..? Heb toa tongo tongo uone the kinda investments that is going on in DOM gvt city.. mashujaa π
View attachment 2725743View attachment 2725744Magufuli city ni mji ulioandaliwa kuwa mtukufu bro with massive structures, sio vikampuni viwili vitatu au vijumba visivyo na kichwa wala miguu.. Tegemea kuona majumba ya balozi tofauti tofauti duniani kujengwa hapo. na makazi yenye hadhi za juu sana.. inshort Magufuli city it was designed to be the Washington DC of Tanzania .. Halafu jua kutofatisha .. kuna Magufuli city (gvt city) na kuna DODOMA City, Magufuli city ipo ndani ya DODOMA City ambayo ni kubwa na Iko vizuri economically na Iko na namba kubwa ya middle class than any town in Kenya including mombasa, ukibisha tunaenda ground