Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikunyonga miaka ya nyuma bado hauja recover. na hautapona kamwe., mimi nimekubana kote kote, huna pakutokea, ni kiswahili na hekaya za abunuasi tu ndizo umebaki nazo, ili mradi tu uonekane nafuu, ulikufa zamani🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ulinyonga vp na wakat niko hai 😅😅 ww sindio yule ukibanwa hapa unakimbiwa mwezi mzima huonekani unakuja na id nyingine

Good thing ni hua hunisumbui kichwa nawajua mpaka mfanano wa chupi zenu
 
FB_IMG_16927294522067032.jpg
 
Back
Top Bottom