Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don YF hii sehem unaikumbuka ulikua ukipost picha zake mwaka jana unaeza post tena zile picha 🤣🤣🤣🤣🤣 na hapa bado ujenzi haujaisha usije kufliri umeisha
Screenshots_2023-06-09-15-08-45.png
Screenshots_2023-06-09-15-08-34.png
Screenshots_2023-06-09-15-08-21.png
Screenshots_2023-06-09-15-07-54.png
Screenshots_2023-06-09-15-07-44.png
Screenshots_2023-06-09-15-07-35.png
Screenshots_2023-06-09-14-53-05.png
 
Nimecheka kwa nguvu sana tena sana yani mtu anazunguka mitaa miwili 🤣🤣🤣 alaf anarudi pale pale basi kamaliza

View: https://youtu.be/-fI7jH6iEbk

View: https://youtu.be/EIOF80_P7mc

Mji wa kishamba, yaani muonekano wa Mombasa tu, Mombasa iko na better vibe by far 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .., tofauti sio mbali, ata street vibe inakaa kuzubaa sana.., watu wenyewe wanakaa villagers roaming the city streets.., boss alafu mwenye clips amechagua sehemu sehemu tu za kupendeza ambazo ni chache mno, not random walk,, mtasubiri sana!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mombasa Vibe..,

View: https://www.youtube.com/watch?v=kVGg8TPtLVQ&t=345s
 
Don YF hii sehem unaikumbuka ulikua ukipost picha zake mwaka jana unaeza post tena zile picha 🤣🤣🤣🤣🤣 na hapa bado ujenzi haujaisha usije kufliri umeisha View attachment 2725535View attachment 2725536View attachment 2725537View attachment 2725538View attachment 2725539View attachment 2725541View attachment 2725542
Sehemu mpya na haiwezi fikia levels za our old CBD.., boss pumzika kabisaaaa.., 😆 😆 😆 😆 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mji wa kishamba, yaani muonekano wa Mombasa tu, Mombasa iko na better vibe by far 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .., tofauti sio mbali, ata street vibe inakaa kuzubaa sana.., watu wenyewe wanakaa villagers roaming the city streets.., boss alafu mwenye clips amechagua sehemu sehemu tu za kupendeza ambazo ni chache mno, not random walk,, mtasubiri sana!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mombasa Vibe..,

View: https://www.youtube.com/watch?v=kVGg8TPtLVQ&t=345s

Mombasa yote umekosa sehemi zaidi ya mama ngina 🤣🤣🤣🤣 ambayo renovation imefanyika mwaka jana ukitoa mama ngina unakimbilia marina hotel ambayo ni private hotel au sio

Mwanza inasehemu kama hzo zaidi ya 20 na ziko over 15 yrs 🤣🤣🤣👇👇 anza na hii

View: https://youtu.be/jtdeySNq6Ls

View: https://youtu.be/eaT7HfQI1RM

View: https://youtu.be/LC3sLxY97Io
 
Sehemu mpya na haiwezi fikia levels za our old CBD.., boss pumzika kabisaaaa.., 😆 😆 😆 😆 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
💉💉💉💉💉 imefika mpaka kwnye mshipa mkubwa wa ubongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mji wa kishamba, yaani muonekano wa Mombasa tu, Mombasa iko na better vibe by far 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .., tofauti sio mbali, ata street vibe inakaa kuzubaa sana.., watu wenyewe wanakaa villagers roaming the city streets.., boss alafu mwenye clips amechagua sehemu sehemu tu za kupendeza ambazo ni chache mno, not random walk,, mtasubiri sana!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mombasa Vibe..,

View: https://www.youtube.com/watch?v=kVGg8TPtLVQ&t=345s

Nyingine hii hapa iko over 25km from CBD mwanza inaitwa jembe beach na hususan kwa ajili ya wanachuo ndio hupenda mahala hapa coz haipo mbali na st agustine university 😅😅😅😅😅😅

View: https://youtu.be/jlq82U1mEs8
 
Mombasa yote umekosa sehemi zaidi ya mama ngina 🤣🤣🤣🤣 ambayo renovation imefanyika mwaka jana ukitoa mama ngina unakbilia marina hotel au sio

Mwanza inasehemu kama hzo zaidi ya 20 na ziko over 15 yrs 🤣🤣🤣👇👇 anza na hii

View: https://youtu.be/jtdeySNq6Ls

View: https://youtu.be/eaT7HfQI1RM

View: https://youtu.be/LC3sLxY97Io

Hii hii Mwanza moja ama ni nyingine ya kule jupiter? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .., visehemu sehemu vya hoteli usiniletee ata vijiji vya pwani kando ya bahari ni mingi tu.., Mwanza nayo ni mji wa kishamba zaidi, ukilinganisha na Dar.., ila Dar imeizidi kwa upande wa uswazi.., Mwanza ndio usitaje, wacha tu, pale napajua sana, boss wachana na mbavu zangu ni usiku jameni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti beach?... rocks eti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hzo ni public sio private mzee nyinyi hamuna sehem tofaut na mama ngina na mama ngina yenyewe ndio mumepata mwaka jana kwa miaka 60 😅😅😅 hata znz imewaacha mbali kwa public places
 
Hzo ni public sio private mzee nyinyi hamuna sehem tofaut na mama ngina na mama ngina yenyewe ndio mumepata mwaka jana kwa miaka 60 😅😅😅 hata znz imewaacha mbali kwa public places
Pirates? Nyali? Shelly beach? nazo ni private beaches?. hatujaenda Malindi, Watamu hadi Lamu, pole sana. 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Pirates? Nyali? Shelly beach? nazo ni private beaches?. hatujaenda Malindi, Watamu hadi Lamu, pole sana. 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Onesha tuone utumbo wa mavi mm nilifika mpaka huko bamburi kote ni ushuzi 🤣🤣

Onesha kama ulivoonsha mama mgina tucheke kwa nguvu zote 🤣🤣🤣🤣

Ngoja nikusaidie haya pirates hio 👇
Screenshots_2023-08-22-20-44-59.png

Nyali beach 🤣🤣🤣🤣
images - 2023-08-22T204615.583.jpeg
 
Back
Top Bottom