Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe NairobiWalker mbona nchi yenu haieleweki? Nimeona sehemu Kenya ni moja ya nchi zilizosaini makubaliano ya kijeshi na Urusi, sasa hii imekaaje wakati teyari mna kambi za jeshi za US na UK, Kenya?
 
Kwahiyo SGR to Malaba imekamilika hivi Sasa mnageukia ya Ethiopia?, Nothing can work in a failed states, Kenya and Ethiopia all are failed states mainly due to tribalism on both countries.
Wafu wanajaribu kuzikana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Nimetembea TZ na kila mahali bando, bando, bando.
WIFI huko ni kama unicorn. Inapatikana tu kwa mahoteli.

The vast majority of Tanzanians in towns and cities have no WiFi in their homes.
The opposite is true in Kenya.
Jambo la kwanza unapotembea kwa Mkenya (urban areas), hata kabla ya kupewa maji, ni kupewa password ya WiFi.
Na WiFi sio ya 'bando'... ni ya Fibre optic cables.

Sasa, si kwanza mpatie WaTZ WiFi kabla ya kupeleka Uganda.
 
Tuziogope vita kabisa.Ukiwa na kiongozi anaona vita kama chai ogopa sana.Leo Putin Kila mlipuko Russia anasema ni Sigara kwa warusi wanavuta sana Sigara wakati huu wa vita na Ukraine
 

Attachments

  • Screenshot_20230815-181951.png
    206.8 KB · Views: 21
Hakuna kitu mnajua nyie Wakunya, Njooni mjifunze Tanzania

View: https://youtu.be/9KIN4tkNOlg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ