Huo artificial si kama uhuru wetu tuBora watu wacheze, ndo mwanzo tu. Mtalia!!!
View attachment 2718362
Viwanja vinaenda vikiimarishwa na kuongezeka. Muda, subirini.
Dandora hapa unakamilika. City Stadium, ujenzi umeanza!!!
View attachment 2718363
Huo artificial si kama uhuru wetu tuBora watu wacheze, ndo mwanzo tu. Mtalia!!!
View attachment 2718362
Viwanja vinaenda vikiimarishwa na kuongezeka. Muda, subirini.
Dandora hapa unakamilika. City Stadium, ujenzi umeanza!!!
View attachment 2718363
Tupe pichaHuo artificial si kama uhuru wetu tu
Supplier wa bangi anayotumia huyu dogo Kimbg
Tupe picha
Watanzania kwenye vocational skills hapa Afrika tupo kwenye rank yetu wenyewe
View: https://twitter.com/sabasmagige/status/1691345620689170432?t=1uwNW38UGM-es93pn33Wtw&s=19
Na bati fulusuti 😂😂😂Washazoea kujenga kwa udongo na matofali ya kuchoma 😅😅😅😅
Kwa Sasa tuweke Nguvu kwenye connectivity, accessibility tayari by June 2024 tutakuwa 100% accessible.We are told
Nimesoma somewhere wanasema manufacturer Bado hajakamilisha kazi.Wakuu Yuko wapi Kadogosa.Waliahidi vichwa vyetu vya SGR August mwanzoni mbona wametokomea? Halafu Kadogosa simwoni kitambo sana kulikoni
Enhh kumbe hata ww huna taarifa mm akili yangu yote nikajua ww chawa utakua habari unazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimesoma somewhere wanasema manufacturer Bado hajakamilisha kazi.
Hii reli ni blaa blaa zingine zisizo na msingi,huenda wakaisindua mwakani mwaka wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Mimi sio chawa wewe nyumbu,kwanza Sina interest na reli hata wakiitelekeza ni sawa tuu Mimi ni mdau wa Barabara.Enhh kumbe hata ww huna taarifa mm akili yangu yote nikajua ww chawa utakua habari unazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣