ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Kwasasa hamuna hata uwanja mmoja wenye standards za CAF .. achilia mbali FIFA 😂😂😂😂That is another in Eldoret. There is a time coming when Kenya will have 50 Fifa Standard stadiums. Lazima tuanzie chini tukipanda
huu uwanja au water retaining dike?
This are coming, mtashangaa sana!!!Kwasasa hamuna hata uwanja mmoja wenye standards za CAF .. achilia mbali FIFA 😂😂😂😂
Bora watu wacheze, ndo mwanzo tu. Mtalia!!!huu uwanja au water retaining dike?
Hii uliyovuta leo ndo yenyewe haswa, tafadhali usimbadilishe huyo plug/supplierThat is another in Eldoret. There is a time coming when Kenya will have 50 Fifa Standard stadiums. Lazima tuanzie chini tukipanda
"This are"This are coming, mtashangaa sana!!!
Viwanja vyote vya kuchezea ndondo…….😅😅Kwasasa hamuna hata uwanja mmoja wenye standards za CAF .. achilia mbali FIFA 😂😂😂😂
Huyo si mwenzenu kabisaAs usual Kenya first
View attachment 2718340
Tanzania gani ulitembea ww 😅😅😅 au ww unafkiri sisi kenya hatuijuiNimetembea TZ na kila mahali bando, bando, bando.
WIFI huko ni kama unicorn. Inapatikana tu kwa mahoteli.
The vast majority of Tanzanians in towns and cities have no WiFi in their homes.
The opposite is true in Kenya.
Jambo la kwanza unapotembea kwa Mkenya (urban areas), hata kabla ya kupewa maji, ni kupewa password ya WiFi.
Na WiFi sio ya 'bando'... ni ya Fibre optic cables.
Sasa, si kwanza mpatie WaTZ WiFi kabla ya kupeleka Uganda.
Ama kweli CAF hawana cha kulaumiwa🤣🤣
May be kwenye ndoto za mchana ?😅😅😅This are coming, mtashangaa sana!!!
Hapa hakuna viwanja mzee wangu, CCM wamiliki hizi takataka miaka mingi mno iliyopita. Saiv tunajenga viwanja vitatu vipyaa vyenye standards za FIFA kaa kwa kutulia ujionee ..Bora watu wacheze, ndo mwanzo tu. Mtalia!!!
View attachment 2718362
Viwanja vinaenda vikiimarishwa na kuongezeka. Muda, subirini.
Dandora hapa unakamilika. City Stadium, ujenzi umeanza!!!
View attachment 2718363
Anaota haswaaMay be kwenye ndoto za mchana ?😅😅😅