Maskini hana kauli mzeeHiyo haizuii nchi kuwa na maamuzi yake, hasa nchi tajiri ambazo zimejitosheleza

Maskini hana kauli mzeeHiyo haizuii nchi kuwa na maamuzi yake, hasa nchi tajiri ambazo zimejitosheleza

Perfect bro umeongea point muhimu sana amabayo nilimwambia na kuna siku nikamwambia mpaka hizi haki za binaadamu wanatumia kama pazia ya kuficha maovu na laana zao hasa kwa nchi za africaFramce depends on Total for energy security and rights. Hivyo kama nchi wanatetea mambo ya LGBTQ+ lakini ikigusa mahali panapouma wanaufyata kama mbwa koko. Energy ndio kila kitu kwe chumi za kidunia.
On one hand France will condemn Uganda decision on anti LGBTQ+ but on the other hand it will support TOTAL engagement with Ugandan government.
Hakuna watu wanafiki kama wazungu. Hii yote wanafanya kuondoa public pressure nchini kwao lakini underhandedly wanafanya biashara na anti LGBTQ+ countries.
Hili jambo linakera Sana na nimezipatia heshima nchi za Nigeria, Benin, Senegal na Ivory coast kwa kusimama na azimio la AU.Afrika sisi ni watu wa ajabu sana, sheria tumejiwekea wenye kwamba tuheshimu utawala wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wetu kwa njia za kupiga kura, tukakubaliana kwamba tusikubali Wala kuruhusu mapinduzi ya Kijeshi, lakini inapofika wakati wa kusimamia maamuzi yetu wenyewe, tunasema hao wanaosimamia utekelezaji wa maamuzi yetu wenyewe wanashindikizwa na nchi za nje, ila hawa waliovunja makubaliano yetu ndio wenye uzalendo na bara letu, uzalendo kwa kwenda kinyume na Yale tuliyojipangia sisi wenyewe?, kweli?.
Hivi unajua multinational companies ndio zinachagua Raisi wa USA and other big economies in the world wananchi wanatumila kama smokescreen tuu kwenye kura.Hebu taja Multinational lolote lile hapa duniani ambalo ni kubwa na linauwezo wa kuzuia vikwazo vya nchi tajiri Kama USA na France.
, Hapa muda si mrefu watakua wanapita na mtumbwi kama Venice
, wajitahidi tu kudevelope sewage ijae ibebe mtumbwi.
View attachment 2714320



Kwahiyo sio nchi 4 Kama unavyosema wewe, au hizo nchi nne umezitoa wapi?.
Hivi Sasa wapo hatua ya pili, hivi unavyosema, nchi 7 zote za ECOWAS zilizohudhuria Jana zinachangia wanajeshi katika hiyo "standby force", hivi Sasa tayari vifaa vya Kijeshi na wanajeshi kutoka nchi za ECOWAS wanaelekea Nigeria kwa ajili ya kutoa kichapo
NDINDA samahani hii haikuhusu kaka
Mkuu, unaweza kutaja mchango wa ToTal Energy kwenye uchumi wa France?. Mali zote za Total Energy duniani kote hazifikii hata 1% ya uchumia wa France, achilia mbali Kodi na mapato mengine yatokayo TOTAL Energy kwenda katika serikali ya France.France depends on Total for energy security and rights. Hivyo kama nchi wanatetea mambo ya LGBTQ+ lakini ikigusa mahali panapouma wanaufyata kama mbwa koko. Energy ndio kila kitu kwe chumi za kidunia.
On one hand France will condemn Uganda decision on anti LGBTQ+ but on the other hand it will support TOTAL engagement with Ugandan government.
Hakuna watu wanafiki kama wazungu. Hii yote wanafanya kuondoa public pressure nchini kwao lakini underhandedly wanafanya biashara na anti LGBTQ+ countries.
Mkuu, haya ni mawazo yako hata Kama sio kweli lakini ni lazima tuyaheshimu.Hivi unajua multinational companies ndio zinachagua Raisi wa USA and other big economies in the world wananchi wanatumila kama smokescreen tuu kwenye kura.
Ukitaka ushindwe uchaguzi go against them mapema saa 4 asubuhi kura hazitoshi.
Wanachagua viongozi na wanawapa agenda zao za kibiashara wazitekeleze wakiingia madarakani.
Unafikiri USA kuhangaika kuuiaminisha dunia kuwa Saddam ni mtu mbaya mwenye silaha za maanganizi ilikuwa ni mpango wa serikali ya USA? Multinationals wakitaka kitu duniani popote wanachukua tuu iwe kibiashara ama kinguvu.
Huyu Janabi kumbe alikuwa daktari wa Kikwete, alafu ndie akawa anamtibu Magu?


Ongea kama kuna mji unaoweza shindana na Mombasa hapo Bongo ukitoa Dar.1 city state, tunawekeza Dodoma na mikoa mingine