Afrika sisi ni watu wa ajabu sana, sheria tumejiwekea wenye kwamba tuheshimu utawala wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wetu kwa njia za kupiga kura, tukakubaliana kwamba tusikubali Wala kuruhusu mapinduzi ya Kijeshi, lakini inapofika wakati wa kusimamia maamuzi yetu wenyewe, tunasema hao wanaosimamia utekelezaji wa maamuzi yetu wenyewe wanashindikizwa na nchi za nje, ila hawa waliovunja makubaliano yetu ndio wenye uzalendo na bara letu, uzalendo kwa kwenda kinyume na Yale tuliyojipangia sisi wenyewe?, kweli?.