Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Moja ni hili, bomba la gesi.

la pili ni: Marekani amewekeza zaidi ya dollar $100 Million kwenye kambi ya Drones za kijeshi iliyopo Niger.

Sema kuna uwezekano zitapigwa vibaya, maana Russia yuko nyuma yao hizi nchi zote zilizopindua hivi karibuni na pia alternative ya Europe kupata gesi toka Africa itapekea wao kuacha kutegemea Russia kwenye hili na Russia hawezi kuangalia wakati nafasi ya kustopisha hili iko wazi. So, lazima zipigwe, inaweza kuwa kama Ukraine.
 
Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Wafaransa wanachimba Uranian Niger, wanaipata kwa bei ya kutupwa. Umeme ufaransa kwa kiasi kikubwa ni wa nyuklia ya Uraniam inayotoka Niger.

Wafaransa wanachimba Uranian Niger, wanaipata kwa bei ya kutupwa. Umeme ufaransa kwa kiasi kikubwa ni wa nyuklia ya Uraniam inayotoka Niger.

Kwani hao Wagner walioletwa watakuwa wanakuchekea na kukulinda Bure bila kuchimba Uranium? Upumbavu ule ule.
 
Huu mradi upo chini ya Total ambalo ni kampuni la Ufaransa, ila pesa ndio wanaomba China, Sasa Kama serikali ya Ufaransa ikivunja mahusiano na Uganda na kuiwekea vikwazo, itawezekanaje kampuni lao kuendelea kuwekeza Uganda?
Total is a multinational company though headquarters yake iko France lakini haiendeshwi au kutishwa na serikali yoyote ile mfano mzuri issue ya Total na EU.

France needs Total more than the other way round.
 
Huu mradi sio mradi wa China, huu ni mradi wa Wafaransa, maamuzi yote yapo mikononi mwa TOTAL Energy, ambao ni Wafaransa, China ni financer tu, Sasa TOTAL wakiamua kusimamisha shughuli zao hadi muafaka upatikane, China atawezaje kuchukua mradi?. Kwanza ataanzaje wakati gharama zote za utafutaji wa Mafuta na visima vyote ni Mali ya Total Energy?
PSA iko wazi Total akizingua ananyanganywa vitalu anapewa mchina simple. Maana atakuwa ameshindwa kuendelea na mkataba kitu ambacho hakiwezi kutokea considering the amount of money aliyo spend kwenye development ya hizo oil fields.
 
20230811_084856.jpg
 
Kwani hao Wagner walioletwa watakuwa wanakuchekea na kukulinda Bure bila kuchimba Uranium? Upumbavu ule ule.
Kati ya yule anaechukua 10 anakuachia 0.5 na yule anaechukua 10 akakuachia 5 bora ni yupi???😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom