joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ndio sababu nikakuambia hujui maana ya hilo neno, ngoja nikupe shule kidogohahaha mm nilikwambia na nitakwambia hata hzo nchi nne zilizobakiwa ecowas mapinduzi yanakuja kwao vile vile just wait muda utaongea zaidi, vibaraka wote watapinduliwa nchi tatu tayari niger ya nne tayar sasa zimebaki nchi nne au tano ecowas sasa tusubiri tuone, activation of standby force iko wapi na inafanya nini??![]()
1)Kikao Cha kwanza Cha ECOWAS lengo lake lilikua ni kuipa muda wa wiki Moja Niger kurudisha utawala wa kiraia
2)Kikao cha pili ni kutangaza rasmi kwamba yaliyotokea ni mapinduzi ya Kijeshi na kuanza kazi ya kukusanya jeshi na kuliweka katika maeneo tayari kwa mashambulizi(activation of standby force)
3)Hatua ya tatu ni kutoa amri ya kushambulia na vita kuanza rasmi.
Jambo ambalo ninakushangaa ni kuzungumza vitu vya uongo Ili kujiliwa, huu mkutano wa Jana, umehudhuriwa na zaidi ya nchi 14, kati ya hizo 7 ni wanachama wa ECOWAS, Sasa wewe umeshikilia nchi 4 tu, ndio sababu nikakuuliza, umepitia Muhimbili?.
Hesabu hizi nchi zinazotajwa hapa.



