Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niletee public office kama hii hapo mambasa

View attachment 2714525

Would you show me a port in Dodoma? Would you show me a hotel like this in Dodoma? Wacha kufikiria kama sokwe.

images - 2023-08-11T191357.627.jpeg
 
Hapana kipindi cha Magu alikuwa JKCI! Msianze majungu yenu maana najua unataka kujenga conspiracy! JPM daktari wake anajulikana alitoka kulekule!
Magu alikuwa na tatizo la Moyo, JKCI ndicho kitengo kikuu cha moyo Tanzania chenye wataalam na vifaa vyote muhimu na mkurugenzi wake ndiyo huyo Janabi. Unafikiri nini kingezuia daktari bingwa wa moyo kumhudumia, daktari wake hakuwa bingwa (specialist) wa kila kitu.
 
Magu alikuwa na tataizo la Moyo, JKCI ndicho kitengo kikuu cha moyo Tanzania chenye wataalam na vifaa vyote muhimu na mkurugenzi wake ndiyo huyi Janabi. Unafikiri nini kingezuia daktari bingwa wa moyo kumhudumia, daktari wake hakuwa bingwa (specialist) wa kila kitu.
Akili za Ukabila ndo zimemuua jamaa wako alirundika Wasukuma wenzie kumzunguka badala ya kuchagua competence!
 
Back
Top Bottom