Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Ndio nyamagana ni uwanja mdogoAnazungumzia Nyamagana sio Kirumba, anasema Nyamagana ni eneo dogo halitoshi kujenga uwanja mkubwa Kama Kirumba
Is this a man or woman?
Hata mimi nimeongea sana hili. Ni bora tuachane tu na 2025 then tukuwa ready tulianzishe kivyetu. Hakuna jambo unaweza fanikiwa na hawa shakahola.Hakuna kushirikiana na kenya wala Uganda, tutaandaa wenyewe.
Mali walifanikisha kwa msaada mkubwa sana wa South Africa. South Africa waligharamia mpaka usafirishaji wa wachezaji from and to the hotel mpaka final na gharama nyingine nyingi sana.Mimi nawaambia kwa jinsi hali inavyokwenda hii AFCON tutaandaa pekeetu mark my words, Uganda na kenya hawawezi hii game, ofcoarse hata mm sipendi hii michuano tuandae wote, nataka tuandae pekeetu na uwezo huo tunao. Kauli mbiu ni kwamba AFCON 2027 Tanzania inawezekana.
Ikiwa vinchi maskini kama Ivory coast au Mali vimewahi kuandaa bila kushirikiana na mtu yeyote kwnn nchi tajiri na inayopenda football kama Tanzania isiweze.
Uwanja wa kaitaba upo tu na nyasi zake bandia, taa,..kwa nini wasiuongezee thamani kwa kupanua majukwaa na kufanya kuwa na uwezo wa kubeba hata watu 30k...maana nafasi ni kubwa ipo..Mimi nawaambia kwa jinsi hali inavyokwenda hii AFCON tutaandaa pekeetu mark my words, Uganda na kenya hawawezi hii game, ofcoarse hata mm sipendi hii michuano tuandae wote, nataka tuandae pekeetu na uwezo huo tunao. Kauli mbiu ni kwamba AFCON 2027 Tanzania inawezekana.
Ikiwa vinchi maskini kama Ivory coast au Mali vimewahi kuandaa bila kushirikiana na mtu yeyote kwnn nchi tajiri na inayopenda football kama Tanzania isiweze.
Ndo maana tunaomba AFCON kwa kushirikiana na Uganda na Kenya tugawane hasara! Michuano huwa haina faida.Mali walifanikisha kwa msaada mkubwa sana wa South Africa. South Africa waligharamia mpaka usafirishaji wa wachezaji from and to the hotel mpaka final na gharama nyingine nyingi sana.
Gabon, na nchi nyingine za africa ambazo hawana watu crazy wa mpira kama Tanzania ikiwamo South Africa, wanapata sana tabu gharama za kuvimeintain viwanja vingi walivyojenga. Kama Gabon, viwanja vimekuwa magofu.
View attachment 2711498
Another one
View attachment 2711502
Another one
View attachment 2711503
Karibia vyote.
Abandoned 40,000 seater left to rot with pitch and stands reclaimed by nature
Mmeanza kweli Kaitaba? Nshomile wangapi hufika kwao kwanza? Naona umetaja Chato mwenyewee kwa kujihisi! Manumbu Morogoro deserves more than that Kaitaba! Nina uhakika hiyo Kaitaba hapo ilipo huwa haijai kunapokuwa na mechi.Uwanja wa kaitaba upo tu na nyasi zake bandia, taa,..kwa nini wasiuongezee thamani kwa kupanua majukwaa na kufanya kuwa na uwezo wa kubeba hata watu 30k...maana nafasi ni kubwa ipo..
Huu hauna mambo ya CCM wala nini ni wa serikali...
Kuna hitajika hata billion 2 tu kujenga majukwaa tu kaitaba...maana pitch iko vzr tu...
Lakin anyway labda watu wataiwazia Bukoba kama chato...kuwa wanapapendelea....watajenga tu Dar huko....mji mmoja tu wa dar unakuwa na viwanja vitano vya mpira....na academy kibao...
Kaitaba kwa sasaView attachment 2711545View attachment 2711546View attachment 2711547View attachment 2711549
Wew jamaa nilikuwa nakuheshimu sema baada ya kuona comments zako za siku hiz...yaani ni bonge la mshamba na chuki zako sijui una shida gani...I hope utakuwa mtu wa kaskazini wew...maana nyinyi huwa hampendi maendeleo kwingine zaidi ya moshi tu....Mmeanza kweli Kaitaba? Nshomile wangapi hufika kwao kwanza? Naona umetaja Chato mwenyewee kwa kujihisi! Manumbu Morogoro deserves more than that Kaitaba! Nina uhakika hiyo Kaitaba hapo ilipo huwa haijai kunapokuwa na mechi.
Waone kabisa, before and after maana soon hapo katikati panafumuliwa.
Uzuri huniheshimu kwa vile napinga miradi ya kindezi! Ohk tufanye mimi wa Kaskazini, huo uwanja wa Kaitaba wa nani kwanza? Msitumie kodi za Watanzania kutaka kujenga tembo mweupe! Nina uhakika hata nyumba pale Kaitaba huna! Ila unataka International Stadium! Yaani waache Morogoro, Mbeya, Kigoma, Tanga na Mbeya waende Kaitaba? Yale yale ya Chato na sisi wa Moshi aka Kaskazini kama unavyodai tulilie uwanja mpya! 😛😛Wew jamaa nilikuwa nakuheshimu sema baada ya kuona comments zako za siku hiz...yaani ni bonge la mshamba na chuki zako sijui una shida gani...I hope utakuwa mtu wa kaskazini wew...maana nyinyi huwa hampendi maendeleo kwingine zaidi ya moshi tu....
Sometimes unakaa kimya hasa kwa mambo yanayokuzidi uwezo
what an ugly soviet communist pitch kind of roofing everywhere 🙄 in danganyika.. looks like Ukraine 😳 or russian
Mbona kwetu huongelei dollar sasa hvi iko 2600tsh au sio ajabu kwako???😂😂😂😂![]()
Kenyan Shilling Hits New Record Low Against Dollar
The Kenyan shilling has been on the backfoot since the beginning of the year.www.kenyans.co.ke
🙄🙄Mbona kwetu huongelei dollar sasa hvi iko 2600tsh au sio ajabu kwako???