Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa, TZ ya sasa hamna hamna tunahitaji uwanja wenye capacity ya spectators around 30k up to 40k, hapo kdg tutaelewa, lkn co ushuzi wa 15k, hiyo si itakuwa kama viwanja jua kali vya kenya tu.
Msilazimishe mambo mkamkwaza mama akaamua kudondosha kitu cha capacity ya 100,000 pale Zanzibar!
 
Ndo maana tunaomba AFCON kwa kushirikiana na Uganda na Kenya tugawane hasara! Michuano huwa haina faida.

Sisi kama taifa tunaweza kujenga viwanja na hatuwezi kumbana na changamoto kama wanazopata wengine. Tanzania hata "Chandim" "Kombe la Mbuzi" mitaani watu wanafurika, na hii ndio advantage yatu kubwa. So, whatever the case, kugawana hasara ni vyema lakini tunaitaji viwanja vya mpiara Tanzania.

Ujinga wa kushirikiana na baadhi ya haya mataifa kushindwa kufanikisha azma.
 
dah...unapenda masifa mzee!
 
Kwa Nini sarafu ya Urusi inaendelea kupeform badly kwa sasa? 1$ ni sawa 97.21 Rouble kutoka 70 mwezi June vilevile Leo Rouble 1 ya Urusi ni sawa na shilingi za Tanzania 25 kutoka 37 na 39 mwezi June 2023
 
Attachments

  • Screenshot_20230808-221643.png
    Screenshot_20230808-221643.png
    33.5 KB · Views: 20
what an ugly soviet communist pitch kind of roofing everywhere 🙄 in danganyika.. looks like Ukraine 😳 or russian
Sidhani kama unafahamu physics ya heat transfer kwenye nyumba yenye paa ndefu. Unafikiri ni kwa nini makanisa na majumba ya zamani yalikuwa na paa ndefu? Hewa yenye joto hupaa juu na ya baridi hushuka chini, hivyo paa refu linasaidia kuongeza mzunguko wa hewa baridi (cooling effect) ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom