Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No any progress mradi wa ujenzi wa dual carriage way barabara ya Arusha - Moshi njia nne ? Things are extremely slow.
Mama anahitaji kuwa mstari wa mbele kufuatilia mambo . Otherwise things will always take forever.
Itakuwa donors JICA ndo wanachelewesha! Sidhani kama serikali hii ya mama ina ufukunyunyu!
 
Ni sawa kusema serikali itaifishe maduka ya wachaga na wakinga pale Kariakoo, au itaifishe shule zote za private hapa nchini. Hiyo ni miradi binafsi(Private property), serikali inapaswa kuhimiza "private investments" sio kunyakua Mali za watu kwa nguvu. Bora useme "kwanini serikali isijenge viwanja vyake?", hivi Sasa serikali ndiyo inajenga viwanja vyake ikianzia Tanga, Dodoma na Arusha, na pale Tanganyika Parckers, Kawe.
Unapoongelea wachaga na wakinga unalinganisha vitu viwili tofauti, kwasababu hao ni watu binafsi. Kiuhalisia hivyo viwanja ni vya serikali kwasababu vilipatikana wakati serikali na chama vilikuwa kitu kimoja. Waliporuhusu vyama vingi CCM walitakiwa kurudisha baadhi ya mali kwa serikali.
 
Unapoongelea wachaga na wakinga alinganisha vitu viwili tofauti kwasababu hao ni watu binafsi. Kiuhalisia hivyo viwanja ni vya serikali kwasababu vilipatikana wakati serikali na chama vilikuwa kitu kimoja. Waliporuhusu vyama vingi CCM walitakiwa kurudisha baadhi ya mali kwa serikali.
Ukimsoma vizuri huyu jamaa ni wale wa kasumba ya kila kitu kipya! Hapa anang'ang'ania Mwanza kiwanja kipya cha mpira!
 
Unapoongelea wachaga na wakinga unalinganisha vitu viwili tofauti, kwasababu hao ni watu binafsi. Kiuhalisia hivyo viwanja ni vya serikali kwasababu vilipatikana wakati serikali na chama vilikuwa kitu kimoja. Waliporuhusu vyama vingi CCM walitakiwa kurudisha baadhi ya mali kwa serikali.
Hili suala la viwanja vya CCM kuwa vilipaswa kuwa vya serikali kwasababu vilikua chini ya chama kimoja lilipelekwa mahakamani na vyama vya upinzani mara tu baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza, lakini mahakama ilisema hizo Mali ni Mali za CCM, ndio sababu hadi Leo vyama vya upinzani vimetulia kimya.

Ukitumia "logic" ni kweli unaweza kuona kwamba Mali zote za CCM kabla ya vyama vingi ni sehemu ya serikali, lakini sheria ilikataa Hilo, Kumbuka "Haki na sheria ni vitu viwili tofauti
 
Ukimsoma vizuri huyu jamaa ni wale wa kasumba ya kila kitu kipya! Hapa anang'ang'ania Mwanza kiwanja kipya cha mpira!
Tatizo lako hutaki kuelewa Kinachozungumzwa unapenda kulazimisha mawazo yako tu. Nimesema Kirumba ni kiwanja cha CCM, serikali haipaswi kuwekeza wala kufanya kazi na chama cha siasa.

Kama serikali inakihitaji kiwanja cha Kirumba Ili kukikarabati, basi inapaswa kukinunua Ili kiwe mali yake kama CCM itakubali kukiuza, la sivyo, serikali ikaendeleze(kukarabati) kiwanja cha Nyamagana, kwasababu Nyamagana stadium ni mali ya serikali, wapi nimesema lazima kiwanja kipya, wapi unashindwa kuelewa?.

Kwanini unalazimisha serikali kuwekeza Kirumba wakati sio mali yake na ni kosa kisheria badala ya kusisitiza kuendeleza Nyamagana ambacho ndio mali yake?.

Nimesema hivisasa hakuna ulazima wa kujenga kiwanja kipya cha mpira Mwanza kwasababu Kirumba bado kinakidhi mahitaji ya Mwanza, muhimu ni kuwahimiza CCM kufanya upgradings" mara kwa mara kwa kusaidia na TFF.
 
Kwavile nafasi ya Kirumba ni kubwa kuliko Nyamagana! Nyamagana ni public space!
 
Tuna viwanja vingi sana Tz, pesa ya kujenga kipya kimoja, tunaboresha vitatu vya zamzni. Ulimbukeni wa kutaka vitu vipya unatumaliza.
ameonyeshwa jinsi Museveni kafanya Nakivubo ila bado kakomaa! Uliza sasa kama wana timu ligi kuu!
 
Kwavile nafasi ya Kirumba ni kubwa kuliko Nyamagana! Nyamagana ni public space!
Basi serikali ikinunue kwanza Kama CCM watakubali kuuza, jambo ambalo CCM hawataki kwasababu ni miongoni mwa vyanzo muhimu sana vya mapato ya chama.

Kule Tanga serikali imetafuta eneo kubwa na nzuri kando kidogo ya mji, Kama ilivyofanya Dodoma na Arusha, Kama eneo la Kirumba ni dogo, watoke nje ya mji kidogo, hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom