The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Haya makenya yamekimbia uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Open University ni kitu ya ku-brag kweli! [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini huo uwanja ni wa wanzabari hivyo wanajua idadi halisi ya watu wanaoingia uwanjani.Arabuni Kuna viwanja vya watu 5000,6000 lakini ni vizuri.Kuwa na kitu kizuri ni jambo zuri bila kujali idadi kumbuka huenda huo uwanja ukatumika kama uwanja wa mazoezi tukihost AfconUjenzi wa uwanja kwa idadi ya watu Elfu kumi na tano (15 000) ni upetezaji wa fedha za umma hasa kwa nchi yenye watu zaidi ya 50million na vichaa wa mpira wanao sapoti timu zao kwa hali na mali, bila kusahau kuwa si mbali toka sasa tukawa na idadi ya watu hata 100million.
Sio kweli eneo la kirumba ni kubwa sana tena sana na linatosha hata wakuchukua mashabiki elf 40Basi serikali ikinunue kwanza Kama CCM watakubali kuuza, jambo ambalo CCM hawataki kwasababu ni miongoni mwa vyanzo muhimu sana vya mapato ya chama.
Kule Tanga serikali imetafuta eneo kubwa na nzuri kando kidogo ya mji, Kama ilivyofanya Dodoma na Arusha, Kama eneo la Kirumba ni dogo, watoke nje ya mji kidogo, hakuna jinsi.
Sawa Mzanzibar, tumekuelewa, yote hii ni TZ.
Kweli kabisa, TZ ya sasa hamna hamna tunahitaji uwanja wenye capacity ya spectators around 30k up to 40k, hapo kdg tutaelewa, lkn co ushuzi wa 15k, hiyo si itakuwa kama viwanja jua kali vya kenya tu.Ujenzi wa uwanja kwa idadi ya watu Elfu kumi na tano (15 000) ni upetezaji wa fedha za umma hasa kwa nchi yenye watu zaidi ya 50million na vichaa wa mpira wanao sapoti timu zao kwa hali na mali, bila kusahau kuwa si mbali toka sasa tukawa na idadi ya watu hata 100million.
Anazungumzia Nyamagana sio Kirumba, anasema Nyamagana ni eneo dogo halitoshi kujenga uwanja mkubwa Kama KirumbaSio kweli eneo la kirumba ni kubwa sana tena sana na linatosha hata wakuchukua mashabiki elf 40