Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Kwa kuanzia sio mbaya japo ingefaa watazamaji walau 40,000
wa Dodoma unapaswa kuwa na uwezo usiopungua viti 40,000!
Kwa kuanzia sio mbaya japo ingefaa watazamaji walau 40,000
magovinda huwa suala la mgawanyo wa keki si kitu mnajua!Unaweza kuwa mtu safi tuu ila vitu vya kujinga na ubinafsi ukakufanya uonekane mpumbavu. Sasa hiyo post na Usukuma umeingiaje? Wewe ni mtu mzima mzee changanua maneno kabla ya kupost. Unachuki binafsi na Usukuma ambao haukusaidii kitu.
Wizara Kwa kuwa Iko kwenye mchakato washauriwe mapemawa Dodoma unapaswa kuwa na uwezo usiopungua viti 40,000!
Maendeleo hayawezi kufanyika kote kwa wakati mmoja, Mwanza walikua hawana uwanja wa ndege wenye hadhi kulingana na mahitaji wa Jiji, muhimu ilikua ni uwanja wa ndege kwanza.mbona Arusha hawajajengewa vituo vya mabasi viwili au uwanja mkubwa kama wa Mwanza? vp wametendewa haki?
sasa tatizo nini mimi kushauri ule uwanja kwa nafasi yake na ulipo, uwe modernized? Mbona nchi zinazoendelea zinafanya hivyo au unafananisha uwanja wa CCM Kirumba na Sheikh Amri Abeid Arusha? Nadhani hamjui mnachoongea! Hamuwezi kufananisha hivi viwanja viwili hata kidogo!Maendeleo hayawezi kufanyika kote kwa wakati mmoja, Mwanza walikua hawana uwanja wa ndege wenye hadhi kulingana na mahitaji wa Jiji, muhimu ilikua ni uwanja wa ndege kwanza.
Arusha kutokana na maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027, ukaribu wa Arusha na Nairobi, ndio uliochochea Arusha kujingwa kiwanja kipya, Mwanza kwa Sasa haina uharaka wa kujenga kiwanja kipya cha mpira, Kirumba bado inaweza kuhudumia mahitaji ya Sasa kwa Jiji la Mwanza.
Tatizo hivyo ni viwanja/miradi ya chama Cha siasa, haifai serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, itaonekana serikali inapendelea chama kimoja Cha siasa, hivi utajisikiaje wewe ukiwa ni CHADEMA Kodi yako inakwenda kutumika kuwekeza katika miradi ya CCM?sasa tatizo nini mimi kushauri ule uwanja kwa nafasi yake na ulipo, uwe modernized? Mbona nchi zinazoendelea zinafanya hivyo au unafananisha uwanja wa CCM Kirumba na Sheikh Amri Abeid Arusha? nadhani hamjui mnachoongea! Hamuwezi kufananisha hivi viwanja viwili!
Si tatizo serikali inaweza kununua ule uwanja au ika-partner na ccm! Au ccm yenyewe ika-modernize ule uwanja!Tatizo hivyo ni viwanja/miradi ya chama Cha siasa, haifai serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, itaonekana serikali inapendelea chama kimoja Cha siasa, hivi utajisikiaje wewe ukiwa ni CHADEMA Kodi yako inakwenda kutumika kuwekeza katika miradi ya CCM?
TFF kwa muda mrefu imekua ikifanya mazungumzo na CCM Ili kuboresha viwanja vyao, TFF ndio mteja wa hivi viwanja, serikali haipaswi kujihusisha na miradi ya vyama vya siasa, ni kosa kisheria, Kumbuka hata shule za sekondari zilizokua chini ya Jumuiya ya wazazi wa CCM, serikali ilishindwa kutoa msaada wowote kutokana na kubanwa na sheria, hadi CCM wenyewe wakaona hawawezi kuzisimamia wakazikabidhi serikalini na hivi Sasa ni Mali ya serikali.Si tatizo serikali inaweza kununua ule uwanja au ika-partner na ccm! Au ccm yenyewe ika-modernize ule uwanja!
Duh tupo autopilot dadeq 🤣Tunasubiri mafuta yashuke bei na dollar zipatikane mtaani 🤣🤣🤣🤣🤣
Mama yako hamna kitu upstairs, naona slowly unaanza kukubaliana na ukweli. Nasikia ukiachia mgao wa umeme na maji, sasa mafuta ni foleni. 😂Hiki kitu ndio nilikuwa nakisema humu uwanja wa CCM Kirumba unahitaji modernization ya namna hii! Ile location pale inahitaji kupewa uzito huu! La sivyo tutasikia mtu kainunua! Ila wakulungwa wa kanda ile wanang'ang'ania uwanja mpya bila kujua wana dhahabu ambayo inahitaji kuwa refined! Mama nae haeleweki badala ya kuboresha kiwanja vya Mwanza pia, naona yupo kimya! Mwanza tayari wana facilities nyingine kama Uwanja wa ndege na hotel ya nyota tano, vituo vya mabasi na zipo zingine zikihitaji kukamilishwa kama JPM bridge na highway yake! Huu uwanja wa Nakivubo kwanza ni mdogo kuliko ule wa Mwanza! Pale CCM Kirumba nafasi yake inatoa si chini ya viti 40,000 na wanaweza hata kuweka na paa pia!
Umeona hii maneno? runway inaongezwa urefu na utawekwa taa ufanye kazi 24 hrs! Hivi Usukumani kuna mtu ana-own hata charter?
Kwa nini serikali isivitaifishe?Serikali inajenga uwanja mkubwa Sana wa michezo Tanga (Sports complex) Ili kuachana na Mkwakwani CCM stadium na Arusha kuachana na Sheikh Amri Abeid, ambavyo ni viwanja vya CCM, inapaswa ifanye hivyo hivyo kwa Mikoa mingine, si busara Serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, vyama vingine vitakua havitendewi haki.
Ni sawa kusema serikali itaifishe maduka ya wachaga na wakinga pale Kariakoo, au itaifishe shule zote za private hapa nchini. Hiyo ni miradi binafsi(Private property), serikali inapaswa kuhimiza "private investments" sio kunyakua Mali za watu kwa nguvu. Bora useme "kwanini serikali isijenge viwanja vyake?", hivi Sasa serikali ndiyo inajenga viwanja vyake ikianzia Tanga, Dodoma na Arusha, na pale Tanganyika Parckers, Kawe.Kwa nini serikali isivitaifishe?