7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Sisi na Wakenya hatufanani kabisa kwenye suala la ustaarabu. Uchafu kwao ni nature ,kuwa masikini siyo lazima uwe mchafu.Ila utakuta mwamba anakupigia ugali na sukuma wiki pembeni ya huo uozo![]()
Ukiona picha imetumwa kutoka Kenya na uko karibu na chakula usiitizame, maliza msosi kwanza lasivyo hutokula





