Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pale Facebook kulikuwa na battle ya school uniforms za Afrikan countries.
2137FF34-8706-44F6-A33E-92EB2A6D3214.jpeg

Hawa ni Ghana

82085B21-7E66-4861-AC8C-BFECF8CEF3AE.jpeg

Hawa ni South Afrika
BEE75FB5-2CEA-4034-93E5-A49A9EA849CF.jpeg

Alafu ikaja zamu ya Jamaa zetu +254, waungwana wakauliza, “mbona hao wanakaa divorced women?”😂😂😂
 
Usukumani imeingiaje tena hapa?? Geza Ulole umekuaje siku hzi bro 🤣🤣🤣🤣
Chuki yake kwa kanda ya ziwa haitazuia maendeleo huko. Kuna vitu vingine huwa ni kujiletea stress tu zisizo kuwa na ulazima wowote. Kwangu mimi mkoa wowote hapa Tanzania ukiendelea nafurahi maana mimi, watoto wangu, ndugu zangu na watazania kwa ujumla watafaidi hayo maendeleo in one way or another. TUACHE CHUKI ZA KIJINGA TANZANIA NI MOJA NA KILA MMOJA WETU ANAWEZA KUISHI POPOTE PALE NDANI YA NCHI HII.
 
Umeona hii maneno? runway inaongezwa urefu na utawekwa taa ufanye kazi 24 hrs! Hivi Usukumani kuna mtu ana-own hata charter?
Unaweza kuwa mtu safi tuu ila vitu vya kujinga na ubinafsi ukakufanya uonekane mpumbavu. Sasa hiyo post na Usukuma umeingiaje? Wewe ni mtu mzima mzee changanua maneno kabla ya kupost. Unachuki binafsi na Usukuma ambao haukusaidii kitu.
 
ndo huwa mnataka kila kitu kipya!
 
Na mikoa mingine kama Kigoma, Singida, Tanga na Morogoro inayotoa wanamichezo wengi ibaki vilevile! wacheni ubinafsi! Ndo maana mnakosa maarifa ukisikiliza arguments zenu za kuboresha jiji lenu utaskia uwanja Mkubwa wa ndege Mwanza kwa vile Mwanza iko karibu na Serengeti na sio potential nyingine zoote za biashara zilizopo huko kama center ya mining EA kama Gauteng province SA!

Hii kitu itawanyamazisha
Serikali inajenga uwanja mkubwa Sana wa michezo Tanga (Sports complex) Ili kuachana na Mkwakwani CCM stadium na Arusha kuachana na Sheikh Amri Abeid, ambavyo ni viwanja vya CCM, inapaswa ifanye hivyo hivyo kwa Mikoa mingine, si busara Serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, vyama vingine vitakua havitendewi haki.
 
Kwa kuanzia sio mbaya japo ingefaa watazamaji walau 40,000
 
Serikali inajenga uwanja mkubwa Sana wa michezo Tanga (Sports complex) Ili kuachana na Mkwakwani CCM stadium na Arusha kuachana na Sheikh Amri Abeid, ambavyo ni viwanja vya CCM, inapaswa ifanye hivyo hivyo kwa Mikoa mingine, si busara Serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, vyama vingine vitakua havitendewi haki.
mbona Arusha hawajajengewa vituo vya mabasi viwili au uwanja mkubwa wa ndege kama wa Mwanza? vp wametendewa haki?
 
Back
Top Bottom