Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
umeelewa the message behind hiyo post?kunyan wakiona mtu mweupe wanapagawa ,wanamfosi jamaa aende kundustan akawabandue 😀
umeelewa the message behind hiyo post?kunyan wakiona mtu mweupe wanapagawa ,wanamfosi jamaa aende kundustan akawabandue 😀
Hapo ndo mnapokosea kuhusu Kaguta, Museveni hataki kuweka gololi zote kwenye kifuko kimoja cha pumbu! Kama ni hivyo angekuwa tayari ashatangaza msimamo wake! Sisi tujenge mpaka mpakani wa Tanzania na Uganda na tuache kujiaminisha ati yupo upande wetu!Mu7 mwenyewe ashasema Tanzania his second home,anasogezea goli karibu tushindwe kufunga wenyewe tu
Tuliambiwa mwezi wa 7 watasaini HGA/IGA Sasa sijui wamekwamia wapi naona kukosa kimya.LNG yetu vp?
Mchina kaghairiHahahaha naona muna matumaini mapya vp mchina imekuaje sasa ??🤣🤣🤣 nimeskia mganda anafufua reli ya zamani
Habari mbaya Sana kwa watoto wa suluhu
Biashara ya CCM hiyo, wenyewe wanaridhika na hali hiyo, Kama serikali hairidhiki wanunue huo uwanja Kama CCM itakubali kuuza, la sivyo serikali ijenge kiwanja chake pale Nyamagana, Nyamagana ndio kiwanja Cha serikali.kwahiyo uachwe ukioza pale? kwahiyo hamna namna serikali inaweza kuingia makubaliano na CCM ikaukarabati?
Hii ni habari mbaya kwa watoto wa Samia au habari mbaya kwenu huoni katikati ya kiti kuna dole gumba?Habari mbaya Sana kwa watoto wa suluhu





Na mikoa mingine kama Kigoma, Singida, Tanga na Morogoro inayotoa wanamichezo wengi ibaki vilevile! wacheni ubinafsi! Ndo maana mnakosa maarifa ukisikiliza arguments zenu za kuboresha jiji lenu utaskia uwanja Mkubwa wa ndege Mwanza kwa vile Mwanza iko karibu na Serengeti na sio potential nyingine zoote za biashara zilizopo huko kama center ya mining EA kama Gauteng province SA!Biashara ya CCM hiyo, wenyewe wanaridhika na hali hiyo, Kama serikali hairidhiki wanunua huo uwanja Kama CCM itakubali kuuza, la sivyo serikali ijenge kiwanja chake pale Nyamagana, Nyamagana ndio kiwanja Cha serikali.
Na mikoa mingine kama Kigoma, Singida, Tanga na Morogoro inayotoa wanamichezo wengi ibaki vilevile! wacheni ubinafsi! Ndo maana mnakosa maarifa ukisikiliza arguments zenu za kuboresha jiji lenu utaskia uwanja Mkubwa wa ndege Mwanza kwa vile Mwanza iko karibu na Serengeti na sio potential nyingine zoote za biashara zilizopo huko kama center ya mining EA kama Gauteng province SA!
Hii kitu itawanyamazisha
Mbona kitambo tu q400 zinatua huko, kuna daily flight ya Arusha via Zanzibar TC 136.Wajitahidi bombadier q400 zitue na airbus A320 zitue pia itakua bomba sana
Kumbe bombadier zinatua wajitahidi airbus pia zitue
Wajitahidi bombadier q400 zitue na airbus A320 zitue pia itakua bomba sana
Kumbe bombadier zinatua wajitahidi airbus pia zitue
Umeona hii maneno? runway inaongezwa urefu na utawekwa taa ufanye kazi 24 hrs! Hivi Usukumani una mtu ana-own hata charter?
Hawa watu wana ubinafsi! Kila kitu wanataka wao tu! Wanakwambia hata uwanja wa mpira wanataka mpya pale Nyamagana!Usukumani imeingiaje tena hapa?? Geza Ulole umekuaje siku hzi bro 🤣🤣🤣🤣
Hukupeleka yeyote popote. Ulikuwa na hasira na ubishi wa kipuuzi ndio maana ukala block. Ulidhani hapo ni JF. Ulianzisha ugomvi kati ya Kenya na Tz ambao haukuwepo alafu kule mods hatolerate ushabiki wa kipuuzi bila evidence. Ukakuja na profiles fake nyingi zikakula block zote.kule Skyscapercity niliwapeleka puta mpaka wakani-block Bantugbro na NairobiWalker wanajua!
Daaah ubinafsi tena ??😅😅😅Hawa watu wana ubinafsi! Kila kitu wanataka wao tu! Wanakwambia hata uwanja wa mpira wanataka mpya pale Nyamagana!
Kama sikuwapeleka puta, mbona mkashitaki kwa owner wa blog nifungiwe? Na ukaja huku sio? Kunifuata? huku nawakung'uta ninavyotaka! Fitna yenu inaishia kule na nikitaka narudi namuambia Bantugbro!! Popote pale hamuniwezi iwe Skyscrapercity au Jamiiforums! BTW kumedorora hamna mtu anaenda kule!Hukupeleka yeyote popote. Ulikuwa na hasira na ubishi wa kipuuzi ndio maana ukala block. Ulidhani hapo ni JF. Ulianzisha ugomvi kati ya Kenya na Tz ambao haukuwepo alafu kule mods hatolerate ushabiki wa kipuuzi bila evidence. Ukakuja na profiles fake nyingi zikakula block zote.
Jiskize unavyokaa fala.Kama sikuwapeleka puta, mbona mkashitaki kwa owner wa blog nifungiwe? na ukaja huku sio? Kunifuata? huku nawakung'uta ninavyotaka! Fitna yenu inaishia kule na nikitaka narudi namuambia Bantugbro!! Popote pale hamuniwezi iwe Skyscrapercity au Jamiiforums!BTW kumedorora hamna mtu anaenda kule!
hawezi kujua uwanja unapokea ndege zaidi ya 150 ndogo mpaka Q400 kwa siku!Mbona kitambo tu q400 zinatua huko, kuna daily flight ya Arusha via Zanzibar TC 136.