Wapo congo wanapiga picha 🤣🤣
dar imepata good infrastructures what about Nairobi?? 🤣 🤣 🤣
nairobi ndio ya pili kwa worst traffic
Muambieni arudi kwasababu huku shughuli imekwisha, wakunya wamekaaa.sasa humu kama mlifanya akakosa kupumua unadhani angefanyaje? joto la jiwe ndo sababu!
Hawa sio Waarabu au siyo?Duh, kumbe hatukuwa na ofisi za ubalozi Algeria? Hawa wamekuwa marafiki zetu toka kawamu ya kwanza, sasa sijui kwa nini hatukuwa na ubalozi huko?
kule Skyscapercity niliwapeleka puta mpaka wakani-block Bantugbro na NairobiWalker wanajua!Muambieni arudi kwasababu huku shughuli imekwisha, wakunya wamekaaa.
Tatizo siyo uarabu bali utu na maslahi ya nchi, kwa taarifa yako wa Algeria huwa hawaipendi Morocco jirani zao, ambako pia kuna waarabu.Hawa sio Waarabu au siyo?
Sasa kwani Waarabu wa Dubai au Saudia Wana shida gani? Tena Waarabu wa Saudia,Dubai,Oman,Kuwait ,Egypt wamekuwa na Msaada zaidi kwa.miaka Mingi Kwa Tanzania kuliko hata hao Russia unawashadidia Kila siku hapa.Tatizo siyo uarabu bali utu na maslahi ya nchi, kwa taarifa yako wa Algeria huwa hawaipendi Morocco jirani zao, ambako pia kuna waarabu.
Sasa kwani Waarabu wa Dubai au Saudia Wana shida gani? Tena Waarabu wa Saudia,Dubai,Oman,Kuwait ,Egypt wamekuwa na Msaada zaidi kwa.miaka Mingi Kwa Tanzania kuliko hata hao Russia unawashadidia Kila siku hapa.
Leo hii Tanzania tuna soko kubwa sana la nyama Uarabuni.
Cold rooms mbioni kujengwa Mbeya
Wakenya ndivyo walivyo, hawakubali mawazo kinzani, ndio sababu fujo, ukabila na fujo za kisiasa haziwezi kwisha kwao, yaani wao Kila mmoja anajiona yupo sahihi kuliko mtu yeyote, Sasa nchi ya watu 50M na Kila mmoja yupo sahihi, patakalika kweli?kule Skyscapercity niliwapeleka puta mpaka wakani-block Bantugbro na NairobiWalker wanajua!