joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mm nimekuuliza maoni yako nashangaa una panic tena unaanza kusema nina unafki wala sijauliza habari juu ya msimamo wa ufaransa ila nilichouliza maoni yako tuUnafiki wako ni pale unapoitaja Ufarasa na kuziacha nchi za Afrika ambazo zimechukua msimamo mkali kuliko hata Ufarasa, hii inaonyesha ni kiasi gani ulivyo na Chuki na nchi za Magharibi.
Kuhusu Mali na Burkinafaso kujibu, ulitegemea nini wakati hizo nchi nazo pia zilifanya mapinduzi?, lazima wajihami kwasababu wanahofia kwamba baada ya Niger huenda nao pia wakalazimishwa kurudisha utawala wa kiraia.
Muhimu ni kwamba, Afrika lazima tustaarabike, haya mambo ya mapinduzi ya Kijeshi ni dalili ya kutokuendelea, haya mambo yalishapita miaka ya 70s na 80s, ni fedhea na aibu kuona yanajitokeza tena.
Ukichunguza kwa undani utagundua kwamba, nchi ambazo haya mapinduzi yanajitokeza sana, ni zile nchi ambazo bado zipo nyuma katika maendeleo, kwanini husikii ujinga huu katika SADC au Sychelles, Ghana, Nigeria, Senegal, na nchi zingine ambazo zinapiga hatua za maendeleo?
sasa ndo unaivunja kipunga?Hiyo ilikuwa ni mikataba ya kisaliti.
Vipi unauliza maoni yangu kuhusu Ufarasa na usiulize kuhusu ECOWAS ambao wametishia kupeleka jeshi kwenda kumrudisha rais aliyepinduliwa?. Mkuu, mbona ulisema USA ilikosea kwa kuzionya nchi rafiki zinazoshirikiana na maadui zake, lakini husemi lolote kwa nchi za Afrika ambazo zimetishia kupeleka majeshi kwa nguvu Niger kupingana na wananchi wa Niger?, kwani Niger sio nchi huru?, vipi hizi nchi za Afrika zinaingilia uhuru wa Niger na wewe upo kimya badala yake unaishitumu France?.Mm nimekuuliza maoni yako nashangaa una panic tena unaanza kusema nina unafki wala sijauliza habari juu ya msimamo wa ufaransa ila nilichouliza maoni yako tu
yani bro unapanic sana alaf hutakiwi kua hvo, kwani nchi ngapi zimepinduliwa na wala sio ajabu hata oman mtoto alimpindua baba yake alipoona mambo hayaendi sawa na akaja akaweka sawa kila kitu ni vitu vya kawaida na walioshindikiza nchi kupinduliwa ni wananchi so ni haki yao
Na ukiona nchi wananchi wanataka mapinduzi basi ujue kuna manyanyaso makubwa kama sio kwa viongozi wao basi kwa watu nyuma ya pazia wanaoshindikiza hayo manyanyaso

Mbona umepanic sana bro 🤣🤣🤣 nishakua mnafki tena mm, hebu rudia swali nililokuuliza yani sikutegemea mapovu kias hicho nilichokuuliza ni tofaut kabisa na unachonijibuVipi unauliza maoni yangu kuhusu Ufarasa na usiulize kuhusu ECOWAS ambao wametishia kupeleka jeshi kwenda kumrudisha rais aliyepinduliwa?. Mkuu, mbona ulisema USA ilikosea kwa kuzionya nchi rafiki zinazoshirikiana na maadui zake, lakini husemi lolote kwa nchi za Afrika ambazo zimetishia kupeleka majeshi kwa nguvu Niger kupingana na wananchi wa Niger?, kwani Niger sio nchi huru?, vipi hizi nchi za Afrika zinaingilia uhuru wa Niger na wewe upo kimya badala yake unaishitumu France?.
Mkuu wewe ni mnafiki Sana na unachuki za kupitiliza kwa nchi za Magharibi, katika dini yetu ya kiislamu, watu wanafiki Kama ninyi kamwe hamuwezi kuingia peponi
Sasa unadhani kwasababu Oman mtoto alimpindua baba yake, kwako hiyo ndio "role model" yako ya kuhalalisha mapinduzi?. Waarabu na waafrika ni miongoni mwa "Primitive societies" zilizobakia katika dunia ya Leo, kamwe hupaswi kutumia mifano ya nchi hizo.
Hebu taja ni nchi gani iliyoendelea (developed country), ambayo hadi Leo huu ujinga wa mapinduzi ya Kijeshi unaendelea.
Kwahiyo unadhani haya mapinduzi yanatokana na manyanyaso na taabu wanazopata raia kutokana na uongozi mbaya, jiulize maswali yafuatayo.
1)Ni raia wa Afrika pekee ndio wanaonyanyasika tu, kwanini huko duniani kwengine hawanyanyasiki?
2)Kwanini ni nchi za" Sahel" na nchi zenye asili ya uislamu kwa wingi ndio zenye fujo, mapinduzi na vita visivyokwisha hapa Afrika na Dunia nzima
Mkuu, tumia ubongo wako kwa kuchakata kwa undani Yale unayoyasikia, usiwe mtumwa wa fikra na itikadi za kidini au rangi. Badilika mkuu.
hizi nchi zote za kiislamu zenye vita chanzo chake ni nato ikiongozwa na huyo muonevu wa dunia ukichunguza kwa makini sana leo itazame libya au iraq au yemen au palestine, ww hujiulizi kwann dunia haiongelei uonevu wa israel kwa palestine, sadam husein alipotaka kuwasaidia wakamzushia ana silaha za maangamizi wakamvamia na kusabaratisha nchi leo hii unaona iraq inatawaliwa? leo unafkiri bila putin kuweka nguvu syria unafkiri ingekua kwenye hali gani??Vipi unauliza maoni yangu kuhusu Ufarasa na usiulize kuhusu ECOWAS ambao wametishia kupeleka jeshi kwenda kumrudisha rais aliyepinduliwa?. Mkuu, mbona ulisema USA ilikosea kwa kuzionya nchi rafiki zinazoshirikiana na maadui zake, lakini husemi lolote kwa nchi za Afrika ambazo zimetishia kupeleka majeshi kwa nguvu Niger kupingana na wananchi wa Niger?, kwani Niger sio nchi huru?, vipi hizi nchi za Afrika zinaingilia uhuru wa Niger na wewe upo kimya badala yake unaishitumu France?.
Mkuu wewe ni mnafiki Sana na unachuki za kupitiliza kwa nchi za Magharibi, katika dini yetu ya kiislamu, watu wanafiki Kama ninyi kamwe hamuwezi kuingia peponi
Sasa unadhani kwasababu Oman mtoto alimpindua baba yake, kwako hiyo ndio "role model" yako ya kuhalalisha mapinduzi?. Waarabu na waafrika ni miongoni mwa "Primitive societies" zilizobakia katika dunia ya Leo, kamwe hupaswi kutumia mifano ya nchi hizo.
Hebu taja ni nchi gani iliyoendelea (developed country), ambayo hadi Leo huu ujinga wa mapinduzi ya Kijeshi unaendelea.
Kwahiyo unadhani haya mapinduzi yanatokana na manyanyaso na taabu wanazopata raia kutokana na uongozi mbaya, jiulize maswali yafuatayo.
1)Ni raia wa Afrika pekee ndio wanaonyanyasika tu, kwanini huko duniani kwengine hawanyanyasiki?
2)Kwanini ni nchi za" Sahel" na nchi zenye asili ya uislamu kwa wingi ndio zenye fujo, mapinduzi na vita visivyokwisha hapa Afrika na Dunia nzima
Mkuu, tumia ubongo wako kwa kuchakata kwa undani Yale unayoyasikia, usiwe mtumwa wa fikra na itikadi za kidini au rangi. Badilika mkuu.
naona na guinea nae kajiunga dhidi ya ecowas 😄 😄 😄Vipi unauliza maoni yangu kuhusu Ufarasa na usiulize kuhusu ECOWAS ambao wametishia kupeleka jeshi kwenda kumrudisha rais aliyepinduliwa?. Mkuu, mbona ulisema USA ilikosea kwa kuzionya nchi rafiki zinazoshirikiana na maadui zake, lakini husemi lolote kwa nchi za Afrika ambazo zimetishia kupeleka majeshi kwa nguvu Niger kupingana na wananchi wa Niger?, kwani Niger sio nchi huru?, vipi hizi nchi za Afrika zinaingilia uhuru wa Niger na wewe upo kimya badala yake unaishitumu France?.
Mkuu wewe ni mnafiki Sana na unachuki za kupitiliza kwa nchi za Magharibi, katika dini yetu ya kiislamu, watu wanafiki Kama ninyi kamwe hamuwezi kuingia peponi
Sasa unadhani kwasababu Oman mtoto alimpindua baba yake, kwako hiyo ndio "role model" yako ya kuhalalisha mapinduzi?. Waarabu na waafrika ni miongoni mwa "Primitive societies" zilizobakia katika dunia ya Leo, kamwe hupaswi kutumia mifano ya nchi hizo.
Hebu taja ni nchi gani iliyoendelea (developed country), ambayo hadi Leo huu ujinga wa mapinduzi ya Kijeshi unaendelea.
Kwahiyo unadhani haya mapinduzi yanatokana na manyanyaso na taabu wanazopata raia kutokana na uongozi mbaya, jiulize maswali yafuatayo.
1)Ni raia wa Afrika pekee ndio wanaonyanyasika tu, kwanini huko duniani kwengine hawanyanyasiki?
2)Kwanini ni nchi za" Sahel" na nchi zenye asili ya uislamu kwa wingi ndio zenye fujo, mapinduzi na vita visivyokwisha hapa Afrika na Dunia nzima
Mkuu, tumia ubongo wako kwa kuchakata kwa undani Yale unayoyasikia, usiwe mtumwa wa fikra na itikadi za kidini au rangi. Badilika mkuu.
Hata USA walitamka tu kwa maneno kuwatishia nchi rafiki, Kama walivyotamka ECOWAS lakini wewe ukakasirika kwa sababu USA ilitamka kutishia, ila ECOWAS walivyotishia unaona sio tatizo ila Ufarasa ni tatizo kwako.Mbona umepanic sana bronishakua mnafki tena mm, hebu rudia swali nililokuuliza yani sikutegemea mapovu kias hicho nilichokuuliza ni tofaut kabisa na unachonijibu
Hakuna nchi ilioingilia uhuru wa niger hata hao ecowas wametamka kwa maneno na sio vitendo na kutamka kwa maneno ni kwa shindikizo la ufaransa baada kusema ataanzisha vita ufaransa kwann kwann ufaransa katamka wazi kua ataanzisha vita niger ???
Mapinduzi yapo kwenye maisha na bahat uzuri wa mapinduzi ya niger niyakutoka kwa wananchi moja kwa moja kwamba wananchi wamechoshwa wameona wapindue sasa shida iko wapi??
Shida yako mkuu unapanic sana alaf unakwenda sana nje ya mada alaf unapenda sana kudhania kitu kabla ya kuthibitisha![]()
Dom inakaa Gaborone hivi, sometimes kama Windhoek ila ukiiangalia vibaya inaonekana kama Pretoria tena. Very peculiar city!!
ecowas wanaongea huku nyuma yao kuna hao hao wenye maslahi na africa na ww unawajua na mm nakwambia bro ecowas hawawez kufanya kitu hvi unajua ecowas ni nchi ngapi?? 😆 😆 😆 kuna nchi zilishajitoa ecowas hilo ulijueHata USA walitamka tu kwa maneno kuwatishia nchi rafiki, Kama walivyotamka ECOWAS lakini wewe ukakasirika kwa sababu USA ilitamka kutishia, ila ECOWAS walivyotishia unaona sio tatizo ila Ufarasa ni tatizo kwako.
Ukweli ni wazi kwamba una uchuki kwa nchi za Magharibi, na sababu kubwa ni kwamba una chembechembe za udini na uarabu, unataka kutushirikisha ugomvi wa wazungu na waarabu, tumekustukia huko hatukubali.
Waliosign hiyo mikataba ni economic hitmen, hakukuwa na namna bali kuivunja hivyo hivyo. Heri nusu shari...sasa ndo unaivunja kipunga?
kuna sheria huitaji kufuatwa kuepuka haya tunayopitia!Waliosign hiyo mikataba ni economic hitmen, hakukuwa na namna bali kuivunja hivyo hivyo. Heri nusu shari...
Aisee, kama mamtoni mwanangu