Kwahiyo wewe ungemruhusu mke wako awe rafiki na kundi la machanguduo kule Ohoi street?, Kwahiyo dini ya kiislamu kukataza kula nguruwe ni uvunjifu wa demokrasia?, Hivi Zanzibar kukataza watu kusuka nywele ni uvunjifu wa demokrasia?, Iweje Kuna nchi zinapinga ushoga?, Kila mtu awe huru kufanya anachotaka, mbona kwenye ushoga hutaki watu wawe huru lakini kwenye mashirikiano unataka Kila mtu awe huru?, Huo ni unafiki wa hali ya juu.Hvi mm nikiwa na ugonv na ww je nitataka niwe na ugonv na familia yako yote? ww huon kama hii dunia ni huru kwann mtu anipangie marafiki wakua nao na wale sitokua nao? Sio mm ndio natakiwa nichague mwenyewe yupi niwe na urafiki na yupi nisiwe na urafiki au bado tupo kwenye ukoloni??![]()
Vipi kuhusu Kenyatta Hospital?
Bro mm naona unatoka nje ya mada kidogo hapa tunachozungumza ni kua kila nchi iko huru hakuna nchi ikawa nu mume na nchi nyingine ikawa ni mke, na kama unatumia mfano huo maana yake ni africa nzima iko kwenye ukoloni tena😅😅Kwahiyo wewe ungemruhusu mke wako awe rafiki na kundi la machanguduo kule Ohoi street?, Kwahiyo dini ya kiislamu kukataza kula nguruwe ni uvunjifu wa demokrasia?, Hivi Zanzibar kukataza watu kusuka nywele ni uvunjifu wa demokrasia?, Iweje Kuna nchi zinapinga ushoga?, Kila mtu awe huru kufanya anachotaka, mbona kwenye ushoga hutaki watu wawe huru lakini kwenye mashirikiano unataka Kila mtu awe huru?, Huo ni unafiki wa hali ya juu.
nani anaijua hiyo hospitali?Vipi kuhusu Kenyatta Hospital?
Sasa kuna kondoo alikuwa anabisha kuwa hawajapeleka muwakilishi!