Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro mm naona unatoka nje ya mada kidogo hapa tunachozungumza ni kua kila nchi iko huru hakuna nchi ikawa nu mume na nchi nyingine ikawa ni mke, na kama unatumia mfano huo maana yake ni africa nzima iko kwenye ukoloni tena[emoji28][emoji28]

Issue ni kwamba marekani anawapangia watu marafiki wakua nao ilihali kila nchi iko huru au labda utuambie ww nchi gani haiko huru huenda sijui mm

Kama kuna nchi zimependa kua na urafiki na russia aziache na asitoe mkwara kwa nchi hizo yani mfano wako ww uko nje ya mada ukisema mume na mke maana yake ni ndoa tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio mwenye shida, hivi Mimi nikikuona unashirikiana na maadui zangu wakati wewe ni rafiki yangu ninakupa Siri zangu, Mimi nikiamua kuvunja urafiki na wewe kwa maslahi yangu, shida ipo wapi?.

Yaani wewe uwe huru kuchagua marafiki zako, lakini Mimi nisiwe huru kuvunja urafiki vile nitakavyo?. Kama nilichagua kuwa rafiki na wewe kwasababu ninazozijua mwenyewe, iweje Leo nimeona sababu za kuuvunja huo urafiki wewe unasema sio demokrasia?.

Marekani haijasema itazipiga nchi zenye Uhusiano na Urusi, bali itatezama upya ushirikiano wake na nchi hizo, tatizo lipo wapi?
 
Ndio maana nikakuuliza kuna nchi ni baba na nyingine ni mama zimefunga ndoa??

So inamaana tukiwa marafiki maana yake tungandana sipaswi kua na rafiki mwengine kisa nina urafiki na ww??🤣🤣

Sasa kama uko tayar kuacha urafiki na mm kisa ni rafiki wa adui yako ni sawa uvunje ila usitoe vitisho sasa kwasababu kila nchi ina uhuru wake wakuchagua sio kupangiwa

Hahahah tatizo la USA hutaka kutumia ubabe kwenye kila kitu hasa anapoona kazidiwa akili na dunia haiwez kua na kiongozi mmoja tu wakuskilizwa never ever 🤣
 
Ndio maana nikakuuliza kuna nchi ni baba na nyingine ni mama zimefunga ndoa??

So inamaana tukiwa marafiki maana yake tungandana sipaswi kua na rafiki mwengine kisa nina urafiki na ww??[emoji1787][emoji1787]

Sasa kama uko tayar kuacha urafiki na mm kisa ni rafiki wa adui yako ni sawa uvunje ila usitoe vitisho sasa kwasababu kila nchi ina uhuru wake wakuchagua sio kupangiwa

Hahahah tatizo la USA hutaka kutumia ubabe kwenye kila kitu hasa anapoona kazidiwa akili na dunia haiwez kua na kiongozi mmoja tu wakuskilizwa never ever [emoji1787]
Wewe upo na shida Sana, vitisho gani alivyotoa zaidi ya kuzitahadharisha nchi rafiki zake zenye kushirikiana na Urusi?,Sasa ulitaka avunje ushirikiano bila hata kuzipa nafasi ya kujitafakari kwa kuzionya.

Tatizo wewe unaiogopa Sana USA, kitendo Cha USA kuzionya hizo nchi kwako unahisi ni vitisho. Hata wewe Kama una busara nzuri, huwezi kuvunja urafiki na rafiki yako bila kumuonya kwamba kitendo anachokifanya sio kizuri kinaweza kuharibu Uhusiano wenu.

Mkuu, punguza chuki kwa nchi za Magharibi kidogo.
 
Unazihatarisha kwani ni colony zake ??🤣🤣
Unatoa onyo kwani marekani ndio waume wa hzo nchi ?? uzipe nafas ya kujitafakar as what kwamba zinakua ziko chini yake

Nchi ikiwa huru maana yake inakua na maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote kwenye maamuzi ya aina yoyote

Mm siogopi USA ila vitendo vya kuzionea nchi zingine na kuzipangia ndio kitu hua kinanishangaza sana

Kama kaamua kua na mahusiano na mrusi na yeye hajapendezwa maana yake akae kimya aendelee na maisha yake na aziache nchi ziwe huru kuchagua nini chakufanya

Mm narudia kukwambia bro mm sina chuki ila napenda sana kusimamia haki hasa kwa uonevu unaofanywa kwa nchi Africa na onyo alilotoa USA ni onyo kwa nchi za africa kwann atoe onyo kwani nchi za africa ni colony zao?? Simple like that
 
Beautiful kilimani
IMG_212856_31723.jpg
IMG_212829_31723.jpg
IMG_212815_31723.jpg
IMG_212850_31723.jpg
 
Unazihatarisha kwani ni colony zake ??[emoji1787][emoji1787]
Unatoa onyo kwani marekani ndio waume wa hzo nchi ?? uzipe nafas ya kujitafakar as what kwamba zinakua ziko chini yake

Nchi ikiwa huru maana yake inakua na maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote kwenye maamuzi ya aina yoyote

Mm siogopi USA ila vitendo vya kuzionea nchi zingine na kuzipangia ndio kitu hua kinanishangaza sana

Kama kaamua kua na mahusiano na mrusi na yeye hajapendezwa maana yake akae kimya aendelee na maisha yake na aziache nchi ziwe huru kuchagua nini chakufanya

Mm narudia kukwambia bro mm sina chuki ila napenda sana kusimamia haki hasa kwa uonevu unaofanywa kwa nchi Africa na onyo alilotoa USA ni onyo kwa nchi za africa kwann atoe onyo kwani nchi za africa ni colony zao?? Simple like that
Kwahiyo wewe ukimuona rafiki yako anashirikiana na adui yako au anafanya kitendo chenye kuhatarisha urafiki wenu utakaa kimya, au utavunja urafiki kimya kimya bila hata kumuambia?.

Mkuu, Chuki zako kwa nchi za Magharibi zipo wazi kabisa, hata mtoto mdogo anaweza kuziona kwa urahisi Sana.
 
Mm nikiona rafki yangu anashirikiana na adui nitaangalia wanaeza kua na manufaa yao na huyo rafki yangu siwez kumpangia maisha anamaamuzi yake nitaangalia kama kuna haja ya kuendelea nae nitaendelea nae kama sina haja ya kuendelea nae na achana nae lakini sio nimpe vitisho vya maisha au kumpangia nn cha kufanya wakat anaakili zake anajua baya na zuri 😅😅😅

Issue sio chuki ila issue ni kwann aweke vitisho kwa marafiki zake shida nn hapo wakat tunaambiwa kila nchi iko huru na maamuzi yake unless uniambie africa bado ni colony then hapo nitakuelewa
 
Kwahiyo wewe ukimuona rafiki yako anashirikiana na adui yako au anafanya kitendo chenye kuhatarisha urafiki wenu utakaa kimya, au utavunja urafiki kimya kimya bila hata kumuambia?.

Mkuu, Chuki zako kwa nchi za Magharibi zipo wazi kabisa, hata mtoto mdogo anaweza kuziona kwa urahisi Sana.
Sina chuki mzee vipi issue ya niger umeiskia vzr naona jeshi limepindua nchi baada ya maoni ya wananchi kutaka viongozi wanyonyaji kutoka madarakani na mbaya zaidi nimeskia ufaransa imesema imesitisha misaada ya kila aina niger mpaka serekali iliopita irudi madarakani ww unahisi ni kwann?? Toa mawazo yako
 
Japo kua mm sio simba ile hii nataka kuwaonesha wakenya kua hii nchi ina pesa sana just imagine jezi zimeuzwa kwa millions of money 👇👇👇👇
Jezi ilioandikwa samia suluhu imeuzwa 10m

Jezi ilioandikwa dr husen mwinyi imeuzwa million 5

Jezi ilioandikwa philip mpango imeuzwa 2.5m

Jezi ilioandikwa tulia akson imeuzwa 2.5m

Jezi ilioandikwa kassim majaliwa imeuzwa 4m

Jezi ilioandikwa tajiri wa magumashi imeuzwa 2m

Na kibeki kimeuzwa 2.5m

Back
Top Bottom