Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naivasha
IMG_20230729_163758.jpg
 
Mm nikiona rafki yangu anashirikiana na adui nitaangalia wanaeza kua na manufaa yao na huyo rafki yangu siwez kumpangia maisha anamaamuzi yake nitaangalia kama kuna haja ya kuendelea nae nitaendelea nae kama sina haja ya kuendelea nae na achana nae lakini sio nimpe vitisho vya maisha au kumpangia nn cha kufanya wakat anaakili zake anajua baya na zuri

Issue sio chuki ila issue ni kwann aweke vitisho kwa marafiki zake shida nn hapo wakat tunaambiwa kila nchi iko huru na maamuzi yake unless uniambie africa bado ni colony then hapo nitakuelewa
Kwahiyo unavyofikiria wewe jinsi ya kuishi na marafiki zako ndivyo unataka dunia nzima ifanye hivyo hivyo kwasababu wewe ndiye mjuaji kuliko watu wote?.

Kuhusu binadamu wote kuwa huru wasichaguliwe jinsi ya kuishi na mtu mwengine, iweje wewe unaunga mkono baadhi ya nchi na serikali kuwapangia watu maisha Yao?, Kwanini hutaki watu wanaopenda kuwa mashoga waruhusiwe kwasababu wapo huru?, Punguza unafiki mkuu.
 
Sina chuki mzee vipi issue ya niger umeiskia vzr naona jeshi limepindua nchi baada ya maoni ya wananchi kutaka viongozi wanyonyaji kutoka madarakani na mbaya zaidi nimeskia ufaransa imesema imesitisha misaada ya kila aina niger mpaka serekali iliopita irudi madarakani ww unahisi ni kwann?? Toa mawazo yako
Mkuu wewe ni mtu mwenye chuki Sana na nchi za Magharibi, yaani sijui Chuki yako inatokana na nini, huwa ninakushangaa Sana.

Nchi za ECOWAS zikiongozwa na Nigeria, zimesema lazima huyo rais arudishwe madarakani haraka Sana, la sivyo watapeleka jeshi kwenda kumrudisha kwa nguvu Kama walivyofanya Gambia.

Kwahiyo wewe umeona Ufaransa tu. Mkuu wewe ni mnafiki Sana hadi umepitiliza. Hivi kweli katika Dunia ya Leo unataka mapinduzi ya Kijeshi yaendelee kuachwa bila kushughulikiwa, hivi Ukiacha Afrika, ni bara gani tena Kuna mapinduzi ya kijinga Kila kukicha?.

Mkuu wewe ni mtu wa ajabu sana, mapinduzi Kama haya yalifanyika huko Myamar takriban miaka 4 iliyopita, na hadi Leo utawala wa Kijeshi umewekewa vikwazo na nchi za Magharibi, kwani Myamar ipo Afrika?.

Mkuu, Chuki zako kwa nchi za Magharibi hadi zinatia kichefuchefu.
 
Hujanielewa tu bro mm sina chuki kabisa ila napenda kusimamia sana haki na sio uonevu nchi za ecowas zimejibiwa na nchi burkina faso, algeria pamoja na mali👇👇

Nimekuuliza tu habari ya ufaransa imekuaje na maoni yako tayar nishakua mnafki tena 🤣🤣🤣🤣 sijategemea kusema mm mnafki wakat nimeomba maoni yako tu
 
Kwahiyo unavyofikiria wewe jinsi ya kuishi na marafiki zako ndivyo unataka dunia nzima ifanye hivyo hivyo kwasababu wewe ndiye mjuaji kuliko watu wote?.

Kuhusu binadamu wote kuwa huru wasichaguliwe jinsi ya kuishi na mtu mwengine, iweje wewe unaunga mkono baadhi ya nchi na serikali kuwapangia watu maisha Yao?, Kwanini hutaki watu wanaopenda kuwa mashoga waruhusiwe kwasababu wapo huru?, Punguza unafiki mkuu.
mm naona kama ume panic alaf unaanza kutoka nje ya hoja, nimejibu hoja zako vzr sana sema ni vile hupendi kushindwa ila kama ukinithibitishia kua africa ni colony la america basi hoja yako itakua sawa au la africa ina haki za kujitawala na kuamua basi haikua sahihi kutoa vitisho 🤣 🤣 🤣 🤣 tuifunge hii mada mpaka utakapotuambiwa kua africa ni colony lao bado
 
Hujanielewa tu bro mm sina chuki kabisa ila napenda kusimamia sana haki na sio uonevu nchi za ecowas zimejibiwa na nchi burkina faso, algeria pamoja na mali

Nimekuuliza tu habari ya ufaransa imekuaje na maoni yako tayar nishakua mnafki tena sijategemea kusema mm mnafki wakat nimeomba maoni yako tu
Unafiki wako ni pale unapoitaja Ufarasa na kuziacha nchi za Afrika ambazo zimechukua msimamo mkali kuliko hata Ufarasa, hii inaonyesha ni kiasi gani ulivyo na Chuki na nchi za Magharibi.

Kuhusu Mali na Burkinafaso kujibu, ulitegemea nini wakati hizo nchi nazo pia zilifanya mapinduzi?, lazima wajihami kwasababu wanahofia kwamba baada ya Niger huenda nao pia wakalazimishwa kurudisha utawala wa kiraia.

Muhimu ni kwamba, Afrika lazima tustaarabike, haya mambo ya mapinduzi ya Kijeshi ni dalili ya kutokuendelea, haya mambo yalishapita miaka ya 70s na 80s, ni fedhea na aibu kuona yanajitokeza tena.

Ukichunguza kwa undani utagundua kwamba, nchi ambazo haya mapinduzi yanajitokeza sana, ni zile nchi ambazo bado zipo nyuma katika maendeleo, kwanini husikii ujinga huu katika SADC au Sychelles, Ghana, Nigeria, Senegal, na nchi zingine ambazo zinapiga hatua za maendeleo?
 
Back
Top Bottom